Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi tuelekeze nguvu kwenye technology ili tuweze ku utilize resources, Maana hata wakiacha kuzaa na technology ikabaki hiyo hiyo bado tutakuwa pale pale, zaidi tutakuwa na upungufu wa nguvu kaziKama unatumia jembe la mkono na huna elimu ya kilimo hata uwe na ejari 1000 unakuwa ume underutilize resouces,so watoto ni luability sababu ya poor techn9logy and lack of capital to utilize resouces availabe
Uko sahihi,mimi naamini resouces zipo sana tu ila maarifa na uwezo wa kuzivuna hatuna,ekari nne kwa kila family ni more than enough kama ukilima kisasa,otherwise hata ekari 20 hazitoshibasi tuelekeze nguvu kwenye technology ili tuweze ku utilize resources, Maana hata wakiacha kuzaa na technology ikabaki hiyo hiyo bado tutakuwa pale pale, zaidi tutakuwa na upungufu wa nguvu kazi
Acha bangi china ina watu bilioni moja, mara 20+ ya bongo, na imeendelea, Nigeria ina watu milioni 200+, na inangoza kwa uchumi duniani,Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.
Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,
Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.
Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.
Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.
Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.
Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.
Huku ni kama kuhujumu uchumi
watakuelewa kweli?Idadi ya watu kuwa kubwa huchangia uchumi kukua maana serikali hupata Kodi nyingi.Tatizo ni hatuna viongozi wazalendo.idadi ya watu wa china ni sawa na idadi ya watu bara zima la afrika lakini china imepiga hatua kubwa Kwa sababu ya uzalendo wao Kwa Nchi yao
Kigoma unayoitaja haipo kwenye Mikoa ambayo watu wanazaana sana tena Iko chini ya Wastani wa kitaifa,labda una chuki binafsi 👇👇View attachment 3065256
Russia ni kubwa kuliko Tanzania mara 17( Tanzania 17 ndio zinatengeneza Russia moja) population yao ni milioni 144.Nchi ina bahari, mito mingi na maziwa makubwa...
Ina misitu, mapori, wanyama wa kuvutia na hali ya hewa nzuri...
Ina milima, mabonde na ardhi kubwa, nzuri yenye rutuba...
Ina madini, gesi na tunaambiwa huenda ina mafuta...
Ina watu hawafiki hata milioni 100!!!
Msiwasumbue wanaozaa...
Kuna nchi hazina hata robo ya hizo rasilimali nilizozitaja hapo juu, zina watu wengi maradufu ya hao wetu, wanapata huduma nzuri za msingi na baadhi bado zinahamasha watu kuzidi kuzaana!
Acheni kuisaidia Serikali kukwepa majukumu yake, mafala nyie!
Kijiji kimoja mkoani Geita nimekuta kijana mwenye umri wa miaka 25 ana wake 3 na watoto 6.
Mwingine ana umri wa miaka 39 na watoto 9 na wake wanne.
Kijiji kimoja mkoani Geita nimekuta kijana mwenye umri wa miaka 25 ana wake 3 na watoto 6.
Mwingine ana umri wa miaka 39 na watoto 9 na wake wanne.
Kawaida sana hiyo kwa Geita,nilienda kata ya rulembela nilishangaa sana,binti miaka 20 watoto watatu,kijana below 25 watoto watatuKijiji kimoja mkoani Geita nimekuta kijana mwenye umri wa miaka 25 ana wake 3 na watoto 6.
Mwingine ana umri wa miaka 39 na watoto 9 na wake wanne.
Katika uzi mmoja nilipokuwa ninadiscourage kuzaa watoto wengi alinijibu hivyo,Hajamsikia rais analalamikia hili jambo?
Na yeye ni mwanaharakati uchwara wa overpipulation?
We jamaa bhana hapa hapa Town kuna mtu ni yeye tu na tumbo lake na anashindia mihogo na chai ya Rangi sembuse huyo wa Geita mwenye watoto wengi, kiufupi sisi ni masikini na tumeuzoea umaskini kiasi kwamba ndio mfumo wetu wa maisha!Kijiji kimoja mkoani Geita nimekuta kijana mwenye umri wa miaka 25 ana wake 3 na watoto 6.
Mwingine ana umri wa miaka 39 na watoto 9 na wake wanne.
Lakini inakuwaje kijana mdogo wa miaka 25 unamiliki wake wa 3 na watoto 6.W
We jamaa bhana hapa hapa Town kuna mtu ni yeye tu na tumbo lake na anashindia mihogo na chai ya Rangi sembuse huyo wa Geita mwenye watoto wengi, kiufupi sisi ni masikini na tumeuzoea umaskini kiasi kwamba ndio mfumo wetu wa maisha!
Hapo factor ya kwanza ni Utamaduni wa jamii husika hususani jamii nyingi za kiafrika tulikuwa na mambo ya ndoa za mitaala na uzaaji wa watoto wengi kama nguvu kazi, tamaduni huondoka taratibu kulingana na mazingira na muingiliano wa watu tofauti tofauti hivyo ni suala la muda tu hivyo vitu vitaondoka vyenyeweLakini inakuwaje kijana mdogo wa miaka 25 unamiliki wake wa 3 na watoto 6.
Suala siyo kuwapa mlo na kupiga nao show, tatizo ni huo umri.
Miaka 25 bado mdogo sana kukabiliana na misukosuko ya wanawake na watoto wengi kiasi hicho.
Huko Geita na hasa maeneo ya Wasukuma kuzaliana siyo mjadala, ndiyo maana wako wengi sana.