Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Kama unatumia jembe la mkono na huna elimu ya kilimo hata uwe na ejari 1000 unakuwa ume underutilize resouces,so watoto ni luability sababu ya poor techn9logy and lack of capital to utilize resouces availabe
basi tuelekeze nguvu kwenye technology ili tuweze ku utilize resources, Maana hata wakiacha kuzaa na technology ikabaki hiyo hiyo bado tutakuwa pale pale, zaidi tutakuwa na upungufu wa nguvu kazi
 
basi tuelekeze nguvu kwenye technology ili tuweze ku utilize resources, Maana hata wakiacha kuzaa na technology ikabaki hiyo hiyo bado tutakuwa pale pale, zaidi tutakuwa na upungufu wa nguvu kazi
Uko sahihi,mimi naamini resouces zipo sana tu ila maarifa na uwezo wa kuzivuna hatuna,ekari nne kwa kila family ni more than enough kama ukilima kisasa,otherwise hata ekari 20 hazitoshi
 
Kama mpaka Mama Muuza Mboga na Vitumbua angekabidhiwa EFD MACHINE, yaani kwamba kila Shilingi 1 inayofanya manunuzi nchi hii ingekuwa inafahamika na mfumo na inalipiwa KODI hakuna ambaye angezaa bila hesabu....
 
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??

Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.

Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.

Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,

Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.

Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.

Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.

Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.

Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.

Huku ni kama kuhujumu uchumi
Acha bangi china ina watu bilioni moja, mara 20+ ya bongo, na imeendelea, Nigeria ina watu milioni 200+, na inangoza kwa uchumi duniani,
Wingi wa watu ni mtaji, wajengee uchumi, wawe na ukwasi, wakiwa na dialspossable income, wataingiza pesa,
Hebu fikiria, watu wakiwa, na fedha za, kutosha, disposable cash, kila mtu akiaamka asubuh akanunua vitu vya tsh 20000,pesa kiasi gani inaingia kwenye uchumi/mzunguko,Tilioni moja inaingia kwenye uchumi! Hiyo ni pesa kuendesha wizara Saba! Wingi wa watu sio jambo baya,
Strength ya taifa lolote, kigezo ki mojawapo ni kuwa na watu wengi wenye ukwasi,
Umaskini wa wa bongo, sio kilema, ni Sera mbovu za ccm,
Raisi anasimama anasema ataendelea kununua magari ya kifahari kwa watendsji wa halamashauri ili waweze kufatilia miradi!
Unafatilia miradi manually! Wakati pesa imeishapigwa na jengo limejengwa kwa udongo na kupigwa plasta
 
Hii ni annual population growth rate,watu wanaohamia etc.......ndio mana umeona Pwani ipo namba 2 hapo,sababu wanaohamia ni wengi sana mkoa wa Pwani na Katavi,hasa wasukuma,..........Birth rate ipo kwenye mfumo AFYA,.......na ni kwelie hata kwa akili tu kawaida,Kigoma wanazaa sana kuliko Pwani
Kigoma unayoitaja haipo kwenye Mikoa ambayo watu wanazaana sana tena Iko chini ya Wastani wa kitaifa,labda una chuki binafsi 👇👇View attachment 3065256
 
Nchi ina bahari, mito mingi na maziwa makubwa...

Ina misitu, mapori, wanyama wa kuvutia na hali ya hewa nzuri...

Ina milima, mabonde na ardhi kubwa, nzuri yenye rutuba...

Ina madini, gesi na tunaambiwa huenda ina mafuta...

Ina watu hawafiki hata milioni 100!!!

Msiwasumbue wanaozaa...

Kuna nchi hazina hata robo ya hizo rasilimali nilizozitaja hapo juu, zina watu wengi maradufu ya hao wetu, wanapata huduma nzuri za msingi na baadhi bado zinahamasha watu kuzidi kuzaana!

Acheni kuisaidia Serikali kukwepa majukumu yake, mafala nyie!
Russia ni kubwa kuliko Tanzania mara 17( Tanzania 17 ndio zinatengeneza Russia moja) population yao ni milioni 144.
Canada ni kubwa kuliko Tanzania mara 10 ina watu milioni 38 tu
Australia ni kubwa kuliko Tanzania mara 8 ina watu milioni 26 tu
Hizi nchi zote Tanzania hata hainusi kwa rasilimali walizo nazo, msikariri ujinga.
 
Hiyo kwa Geita ni jambo la kawaida yani huku geita hali ni mbaya kuna umasikini wa kutosha japo kuna madini pia ila vijijini hali ni mbaya wanashindia michembe na kulalia michembe
Kijiji kimoja mkoani Geita nimekuta kijana mwenye umri wa miaka 25 ana wake 3 na watoto 6.
Mwingine ana umri wa miaka 39 na watoto 9 na wake wanne.
 
Kawaida sana hiyo kwa Geita,nilienda kata ya rulembela nilishangaa sana,binti miaka 20 watoto watatu,kijana below 25 watoto watatu
 
Hajamsikia rais analalamikia hili jambo?

Na yeye ni mwanaharakati uchwara wa overpipulation?
Katika uzi mmoja nilipokuwa ninadiscourage kuzaa watoto wengi alinijibu hivyo,

Lakini leo nimesoma posts zake naona na yeye hapendi tabia ya kuzaa hovyo. Kwa hiyo sijamuelewa.
 
W
Kijiji kimoja mkoani Geita nimekuta kijana mwenye umri wa miaka 25 ana wake 3 na watoto 6.
Mwingine ana umri wa miaka 39 na watoto 9 na wake wanne.
We jamaa bhana hapa hapa Town kuna mtu ni yeye tu na tumbo lake na anashindia mihogo na chai ya Rangi sembuse huyo wa Geita mwenye watoto wengi, kiufupi sisi ni masikini na tumeuzoea umaskini kiasi kwamba ndio mfumo wetu wa maisha!
 
Lakini inakuwaje kijana mdogo wa miaka 25 unamiliki wake wa 3 na watoto 6.
Suala siyo kuwapa mlo na kupiga nao show, tatizo ni huo umri.
Miaka 25 bado mdogo sana kukabiliana na misukosuko ya wanawake na watoto wengi kiasi hicho.
Huko Geita na hasa maeneo ya Wasukuma kuzaliana siyo mjadala, ndiyo maana wako wengi sana.
 
Kusema kwamba Taifa letu linapopulation kubwa nakataa ila ni umaskini tu ndio unaofanya tuhisi tupo wengi, Hii nchi maeneo yenye high Density ya watu ni machache hasa mijini huko vijijini uwiano wa mtu na rasilimali ardhi ni mdogo sana, Watu pia huongeza fursa za uzalishaji na masoko hao mnaoona wanazaliana ndio wanaosawazisha uwiano wa watu maeneo mengine yenye uzazi hafifu. Viongozi wajikite katika kutengeneza watu wawe productive ili tuone tija ya kuwa na watu wengi.
 
Lakini inakuwaje kijana mdogo wa miaka 25 unamiliki wake wa 3 na watoto 6.
Suala siyo kuwapa mlo na kupiga nao show, tatizo ni huo umri.
Miaka 25 bado mdogo sana kukabiliana na misukosuko ya wanawake na watoto wengi kiasi hicho.
Huko Geita na hasa maeneo ya Wasukuma kuzaliana siyo mjadala, ndiyo maana wako wengi sana.
Hapo factor ya kwanza ni Utamaduni wa jamii husika hususani jamii nyingi za kiafrika tulikuwa na mambo ya ndoa za mitaala na uzaaji wa watoto wengi kama nguvu kazi, tamaduni huondoka taratibu kulingana na mazingira na muingiliano wa watu tofauti tofauti hivyo ni suala la muda tu hivyo vitu vitaondoka vyenyewe
 
Back
Top Bottom