Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio

Kwani takwimu hizi haziwezi kuwa si sahihi wakati hatujapata takwimu sahihi bado?

Unajua methodology ya kupata takwimu sahihi Tanzania na changamoto zake?

Unaelewa kuwa katika elimination method na Hegelian dialectic unaweza kuanza kubishia jibu kuwa si sahihi kabla hata ya kupata jibu sahihi?

Au unakariri tu kwamba takwimu zinabishiwa na takwinu?
So unataka nikuamini kwa porojo!? Yaani maneno matupu unataka niyaamini mbele ya takwimu rasmi!? Hiyo michezo ya vijiwe vya kahawa usiilete hapa JF.
 
We ni fala mi niandike kwa chuki muha sna kipi cha kufanya nimchukie
We unakipi kwani!? Labda ushatiwa mimba na Muha akakukimbia, ntajuaje? Maana so kwa chuki hizo! Hata hivyo hao Waha wanakuzidi maisha mno, unashinda JF na bando lako la chuo, hao Waha wana biashara zao wanapiga hela na wanaweza kukuajiri kama House girl/boy
 
Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma inarudisha nyuma uchumi wa nchi kwa watu wake kuzaa bila mpangilio
Umesahau Zanzibar na Pemba pamoja na ukanda wote wa pwani Bara.
Unakuta mtu mmoja anamiliki wake 3 au 4, kila mwaka anapata mtoto 1 au 2 au 3
 
So unataka nikuamini kwa porojo!? Yaani maneno matupu unataka niyaamini mbele ya takwimu rasmi!? Hiyo michezo ya vijiwe vya kahawa usiilete hapa JF.
Sijataka uniamini, wala sijasema nilichosema mimi ndiyo ukweli.

Sitaki kuamini, nataka kujua.

Nimeeleza shaka kuhusu data.

Kama unaelewa the scientific process, utajua kuwa kuna peer review.

Peer review huanza kwa mtu kusema "wait a minute, something does not seem to be right here. I could be right or I could be wrong, but something seems off here".

Na katika point hii, mtu hahitaji data kusema hivyo, hahitaji takwimu.

Kwa sababu, huo ndiyo mwanzo wa kutafuta takwimu.

Inawezekana mkoa wa Kigoma umepiga hatua kubwa katika kupunguza idadi ya watu kutoka 2.4% mpaka 1.5% kutoka sensa ya 2012 mpaka data za 2022. Na data hizi ni sahihi. Nitafurahi sana ikiwa hilo ni kweli.

Inawezekana mkoa wa Kigoma umegawanywa na mimi sijui na hivyo mkoa wa Kigoma wa awali si sawa na wa sasa.

Inawezekana ukusanyaji wa data una matatizo, watu wengi wa Kigoma si raia wa Tanzania na hivyo hawataki kuhesabiwa wala ku interact na serikali.

Sasa mimi niki raise concern ya data integrity, kitu ambacho ndicho kinaanzisha uhakiki, kwa nini unataka kulazimisha lazima nije na data?

Kama data za sasa zina walakini, na tunaweza kupata mtu wa kutupa muktadha mzuri zaidi, na data sahihi hazipo je?
 
Acha kujipendekeza kwa wasukuma watakusukumia mlingoti wa matakoni.
Huna hoja, unaropoka tu ilimradi unaweza kuropoka.

Mimi ni msukuma ninaekaa usukumani, ninaona watoto wanavyoishi kwa shida na mateso.

Sasa we Kitombile mtombwa ovyo, huwezi kujua malezi ya watoto, hii mada siyo saizi yako,

Wewe nenda kachangie madq za vitombile wanaotombwa ovyo bila kuoga.

Leave this topic alone you ignorant imbecile, Idiot Moron!
Acha kujipendekeza kwa wasukuma watakusukumia mlingoti wa matakoni.
 
Huna hoja, unaropoka tu ilimradi unaweza kuropoka.

Mimi ni msukuma ninaekaa usukumani, ninaona watoto wanavyoishi kwa shida na mateso.

Sasa we Kitombile mtombwa ovyo, huwezi kujua malezi ya watoto, hii mada siyo saizi yako,

Wewe nenda kachangie madq za vitombile wanaotombwa ovyo bila kuoga.

Leave this topic alone you ignorant imbecile, Idiot Moron!
Hakuna msukuma kilaza kama wewe, utakuwa na encephalopathy, au oedema kwenye ubongo, huwezi kuzalisha na kuzaana kama uchumi si mzuri kwenye eneo masikini na watu wenye pesa za mawazo ndio wanaogopa kuzaa, kuna eneo la ovyo lisikokuwa na fursa kama kwenu Kilimanjaro, you imbecile.
 
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??

Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.

Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa kutosha kuwahudumia watoto.

Uharibifu wa mazingira ji mkubwa sana Katavi,Kigoma,Tabora,Geita,Simiyu,

Hakuna tuzo mtakayopewa kwa kuzaa sana.

Unakuta mama anakwenda clinicba watoto watatu wote waba chini ya miaka mitano.

Siku ya clinic kwa kitongoji husika hakuna mwanamje anayebaji ndabi,wote waba watoto wadogo.

Siku ya ubatizo au kipaimara janisa linajaa watoto moaka wabakosa viti.

Siku ya kufanya mitihani madawati yote yanamalizwa na watahiniwa.

Huku ni kama kuhujumu uchumi

NB,zingatia naneno haya growth rate na birthrate na mortality rate

Kigoma wana Growth rate ndogo kitakwimu ila birthrate yao si haba,vijana wanaukimbia sana huu mkoa na ni watanzania wachache sana wanahania Kigoma kutafuta naisha
Lucha ana ugonjwa wa akili
 
Tanzania bado tupo chini sana. Tuendelee kuzaa. Japan inaingia mara tatu kwa Tz na ina watu 125milioni. Kwa sasa wameacha kuzaliana, wanakumbana na tatizo la kuisha, same kwa South Korea. Tungekuwa tunazaliana kama Japan tulitakiwa tuwe kama 400milioni mpaka sasa. Tuendelee kuzaliana jamani.
 
We ni fala mi niandike kwa chuki muha sna kipi cha kufanya nimchukie
Bwege kama wewe unawazidi kitu gani waha!? Kula yako shida, unashinda JF kujifariji na kusukuma masaa!
 
Hiyo ni growth rate SIo birth ratekuna mikoa ni ngumu sana mtu kwenda kutafuta maish Kigoma ikiwemo,Wanakigoma wanaongoza kuuukimbia mkoa wao,wamejazana DarE Es Salaan ,na Geita kutafuta maisha,ila wanapenda sana familia kubwa,Kigoma ni kana Somalia ta Tanzania,watu wanaikimbia kila siku
Bila kusahau lindi na mtwara vijana wao wamejazana vitongoji vya mbagara.
 
Naludia tena Tanzania yetu hii bado tunahitaji ongezeko la watu sambamba na kuimalisha means of Production, Kwangu mimi Jamii hizo nawapa heko kama unafikili kuzaa ni kuzaazaa tu jalibu wewe uone, tuache kebehi kuwaita wenzetu wanazaa zaa kama Ng'ombe, tuwapongeze mtu anakuzalia nguvu kazi afu we unambeza, Kazaa yeye, kalea Yeye wewe inakuuma nini, wewe zaa wako wawili inatosha achani kuwaandama watu kwa mambo ambayo ni utashi wao wenyewe
 
Siku ikifika kama Taifa ikaonekana imetosha tutatunga sheria kama nchi nyingine zinavyofanya kupanga idadi ya watoto kwa kila mtu, Tuache kunyanyasa jamii zetu kwa visingizio kama hivi.
 
Marehemu jpm aliwashauri wafyatuane,nao Kwa akili za kijinga za kufuga fisi na chatu wamezaana kama panya
 
Back
Top Bottom