Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Unaweza kuta mzungu amenyea na kupigia mabao, af mtu fulani anazitetea hizo nguo kweli.Tajiri unanunua kitu uvae miaka 5? Kweli ili kidumu kununua kitu kidumu mda mrefu ni umaskini uliochangamka matokeo yake unavaa mpaka nguo ambayo haipo kwenye fashion
Ukiwa na hela utanunua kwenye maduka classic wear kutoka ulaya. Kiatu cha moka laki 2.Binafsi bado sijawa tajiri, ila nina mpango kabla sijafa niwe nimeshakuwa tajiri. Napenda sana mitumbaaaa, tena yale magumu magumu yani, buti ngumu, jeans ngumu mkataba nk.
Asikudanganye mtu, Ulaya nako wanavaa mitumba sana tu tena inauzwa kwenye maduka makubwaMtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika.
Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya?
Kuanzia Moshi, Arusha na Manyara kote mitumba ni mingi mnoo ina maana wanashindwa kununua vitu ambavyo havijatumika?
Au utajiri wao ni kwenye kunywa K vant?
Mkuu usishangae huyu member alipost hii mistari majuzi somewhere humu jukwaani sikumbuki title ya uzi, naona ame copy na ku paste sijui ana lengo ganiIna husiana vip na post hii?? ukiwa na upenzi wa siasa katafute magroup husika.. Mwehu wewe
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Ina husiana vip na post hii?? ukiwa na upenzi wa siasa katafute magroup husika.. Mwehu wewe
Kusema ukweli mwenzetu karogwa🤣😀 hayo ameyaandika kwenye thread nyingine huko majuzi kaja kuirudia hapa leo sijui amem target naniEndelea kuchezewa matako.
Hakuna cha special wala nini mtumba ni nguo used ungekuwa hujatumika usingekuja kwenye masandarusi
Dada yangu vitu og vipo achana na vichina sema vinauzwa gharama mfano travota og mpaka laki 5 wakat kwa mtumba unapata kwa 50 mpaka 100kUnapenda Ligi
Kuna wakati ukiwa haufahamu Jambo unajifunza tu bila ubishi.