Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

Tajiri unanunua kitu uvae miaka 5? Kweli ili kidumu kununua kitu kidumu mda mrefu ni umaskini uliochangamka matokeo yake unavaa mpaka nguo ambayo haipo kwenye fashion
Unaweza kuta mzungu amenyea na kupigia mabao, af mtu fulani anazitetea hizo nguo kweli.
 
Binafsi bado sijawa tajiri, ila nina mpango kabla sijafa niwe nimeshakuwa tajiri. Napenda sana mitumbaaaa, tena yale magumu magumu yani, buti ngumu, jeans ngumu mkataba nk.
Ukiwa na hela utanunua kwenye maduka classic wear kutoka ulaya. Kiatu cha moka laki 2.
Kusema ukweli kuvaa mitumba kunaendelea akudhalilisha waafrika.
Ipo siku watasindika makombo yao ya chakula walete huku af watetezi watasema matamu kweli.
Kama una hela nunua online shop kitu kipya cha fasheni ya leo sio kuvaa fasheni ya miaka 10 iliopita.
Tukubali yu sisi ni masikini moaja wa nguo. Gari mpya hatuna uwezo,piki piki mpya OG hatuna uwezo, Mavazi nayo mitumba.
Ukweli wafroka tunatia aibu duniani.
Hivi nwarabu au muirani anaweza kukubali mitumba ya wazungu kuingia kwao?
Wadada zetu wanavaa mpaka sindilia na chupi za wazungu, aibu sana basi tu!
 
Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika.

Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya?

Kuanzia Moshi, Arusha na Manyara kote mitumba ni mingi mnoo ina maana wanashindwa kununua vitu ambavyo havijatumika?

Au utajiri wao ni kwenye kunywa K vant?
Asikudanganye mtu, Ulaya nako wanavaa mitumba sana tu tena inauzwa kwenye maduka makubwa
 
Ina husiana vip na post hii?? ukiwa na upenzi wa siasa katafute magroup husika.. Mwehu wewe
Mkuu usishangae huyu member alipost hii mistari majuzi somewhere humu jukwaani sikumbuki title ya uzi, naona ame copy na ku paste sijui ana lengo gani
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Ina husiana vip na post hii?? ukiwa na upenzi wa siasa katafute magroup husika.. Mwehu wewe
Endelea kuchezewa matako.
Kusema ukweli mwenzetu karogwa🤣😀 hayo ameyaandika kwenye thread nyingine huko majuzi kaja kuirudia hapa leo sijui amem target nani
 
Hakuna cha special wala nini mtumba ni nguo used ungekuwa hujatumika usingekuja kwenye masandarusi

Unapenda Ligi

Kuna wakati ukiwa haufahamu Jambo unajifunza tu bila ubishi.
 
Unapenda Ligi

Kuna wakati ukiwa haufahamu Jambo unajifunza tu bila ubishi.
Dada yangu vitu og vipo achana na vichina sema vinauzwa gharama mfano travota og mpaka laki 5 wakat kwa mtumba unapata kwa 50 mpaka 100k
Kama wanahela wanunue huko
Ila usisitie mtumba ambao mzungu aliukojolea
 
Back
Top Bottom