Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
mifupa yake....mwili wake bado utapeta kwenye marumaru tu....ambazo wewe huna mpaka leo na huzijui kwanza...ebu nambie marumaru ni nini?? .....ungezijua usingetamka mwili wake kuoza kirahisi na kuwa udongo ...hata usemeje hutafikia hadhi ya hayo maziko...ukoo wako mzima....ajabu sasa huyu utamkuta mbinguni yupo huki.....sababu ya chuki zako utarudi ukidhani umekosea..kuuumbe ndo mahali sahihi chuki zitafanya upotee. Haya weee kazana.Hata warembe vipi lazima uoze ubaki fuvu,mifupa ioze ubabiki udongo
Hizo ni mbwembwe kijana hamna la maana aliyezikwa kwenye udongo na aliyezikwa kwenye marumaru wote ni wafu tu hakuna daraja la wafu huyu class a sijui class c wote ni marehemu.mifupa yake....mwili wake bado utapeta kwenye marumaru tu....ambazo wewe huna mpaka leo na huzijui kwanza...ebu nambie marumaru ni nini?? .....ungezijua usingetamka mwili wake kuoza kirahisi na kuwa udongo ...hata usemeje hutafikia hadhi ya hayo maziko...ukoo wako mzima....ajabu sasa huyu utamkuta mbinguni yupo huki.....sababu ya chuki zako utarudi ukidhani umekosea..kuuumbe ndo mahali sahihi chuki zitafanya upotee. Haya weee kazana.
teteee!!tee! Mkuru!! mbwembwe ndo maisha yenyewe baba sasa!!! Bila mbwembwe ni dhiki.... Sikia sasa mie natembelea Jaguar 56!!...wewe kirkuu!! sasa jua yote hayo ni magari???Hizo ni mbwembwe kijana hamna la maana aliyezikwa kwenye udongo na aliyezikwa kwenye marumaru wote ni wafu tu hakuna daraja la wafu huyu class a sijui class c wote ni marehemu.