TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Acha siasa mkuu. We endelea kulia vyuku "dinning," Sie tupo huku "juani" tunashindia UJI
 
Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
ofcourse, naona ni lazima tu kwao, why wasiwe na kazi nzuri wakati opportunity ya kuwa nayo ipo ya kutosha kabisa? including diplomatic exposure zote.
 
Alipata nafasi ya kusoma baba akiwa diplomat
Watoto wengi wa vigogo wa zamani yaani akina Mahiga, Job Lusinde, Daudi Mwakawago, Christopher Ny'ang'anyi na wengine, watoto wao walikwenda kule kusoma (wakitokea Tanzania na sifa nzuri au za wastani) na walikuwa na muda khasa wa kupiga kitabu.

Wale wenye sifa za wastani waliweza kupalilia uwezo wao na wengineo leo hii wapo uzuri.

Kisha kuna wale watoto ambao walizaliwa hukohuko majuu ambao Tanzania wanagusa tu kwa likizo na makazi ni hukohuko majuu.

Hawa wapo uzuri kiakili kwani huwa wana makundi maalum ya kujichanganya labda eneo wanokaa ni la vigogo na watu wenye uwezo tu.

Zengwe lilianza pale watoto wengineo ambao walizamia na kupeleka mambo ya kiswahili huko majuu na kusababisha vile viwango vianze kuteremka.

RIP Mikola, umeenda bado wahitajika na familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…