TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

Hakuna kazi mbaya, kinachotafutwa ni usawa tu, ila objectively hakuna ubaya katika kazi. Umejuaje kama hiyo ni mbaya bila kulinganisha na zingine? Ni kujaribu kuwa sawa ndio kunawapa shida.

Hata hiyo ya hao watoto wa vigogo, ukiilinganisha na kazi za vibopa wengine na yeye anaweza akasema kazi yake ni mbaya pia
Acha siasa mkuu. We endelea kulia vyuku "dinning," Sie tupo huku "juani" tunashindia UJI
 
Alipata nafasi ya kusoma baba akiwa diplomat
Watoto wengi wa vigogo wa zamani yaani akina Mahiga, Job Lusinde, Daudi Mwakawago, Christopher Ny'ang'anyi na wengine, watoto wao walikwenda kule kusoma (wakitokea Tanzania na sifa nzuri au za wastani) na walikuwa na muda khasa wa kupiga kitabu.

Wale wenye sifa za wastani waliweza kupalilia uwezo wao na wengineo leo hii wapo uzuri.

Kisha kuna wale watoto ambao walizaliwa hukohuko majuu ambao Tanzania wanagusa tu kwa likizo na makazi ni hukohuko majuu.

Hawa wapo uzuri kiakili kwani huwa wana makundi maalum ya kujichanganya labda eneo wanokaa ni la vigogo na watu wenye uwezo tu.

Zengwe lilianza pale watoto wengineo ambao walizamia na kupeleka mambo ya kiswahili huko majuu na kusababisha vile viwango vianze kuteremka.

RIP Mikola, umeenda bado wahitajika na familia.
 
Back
Top Bottom