Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNdo wanakuambia pia
Ayaaaa wasema kweli weye!! Maneno matam sana haya kuyasikia naomba yako chaapuns roho nzuri sana wewe dada njoo huku south nikuunganishe
haaaahaa!! Weee dada wee!! Umekula maharage ya wapi!! Unatiririka tuuuu!! Au dume weye siyo rahisi ke kuongea ukweli wa moyo.Aah wap ningetulia tu niwe najilia muhogo wangu taratiibu kila siku na kumzalia watoto mahandsome kama yeye
Acha siasa mkuu. We endelea kulia vyuku "dinning," Sie tupo huku "juani" tunashindia UJIHakuna kazi mbaya, kinachotafutwa ni usawa tu, ila objectively hakuna ubaya katika kazi. Umejuaje kama hiyo ni mbaya bila kulinganisha na zingine? Ni kujaribu kuwa sawa ndio kunawapa shida.
Hata hiyo ya hao watoto wa vigogo, ukiilinganisha na kazi za vibopa wengine na yeye anaweza akasema kazi yake ni mbaya pia
naomba tutumiane picha basi.Mie ugonjwa wangu ni handsome kuchakata tutafundishana tu
ofcourse, naona ni lazima tu kwao, why wasiwe na kazi nzuri wakati opportunity ya kuwa nayo ipo ya kutosha kabisa? including diplomatic exposure zote.Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
hongera mkuu na kila la heri, ila nimecheka kweli kwa wasilisho lako, hahahaa.Umasikini ni nusu ya uchawi ndo maana napambana nao sana japo sijui Kama nitafanikiwa
pole, usiwe na hasira mkuuUmaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
lkn mahiga si alikuwa mlslahoi tuWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
hiyooooooo chukuaAyaaaa wasema kweli weye!! Maneno matam sana haya kuyasikia naomba yako chaap
Tuma chap inbox haponaomba tutumiane picha basi.
Nikiwa mie siyo handsome wee nipige chini tu rukhsa nakupa bureee .....ujue kumpa mtu cute girl ivi ivi roho inauma sana...
Lemutuz ana miaka 60+ yule ni agemate wa mbowe yuleSijui ni nani kati ya Le Mutuz ama mzazi wake wenye hasara zaidi. Maana kuwa mfano wa kila baya la kufeli kimaisha hasa kwa umri alionao Le Mutuz (50+) si jambo zuri kabisa.
and that makes it even worseLemutuz ana miaka 60+ yule ni agemate wa mbowe yule
Mwele na lemutuz ,lemutuz atakuwa mkubwa
Mi pia handsome njoo basi tuishMie ugonjwa wangu ni handsome kuchakata tutafundishana tu
Kifo pekee hutufananishaWatoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Kwa hiyo alikula mema ya dunianiYes alikula sana kuku kwa mrija. [emoji23][emoji23][emoji23]
HaswaaaahKwa hiyo alikula mema ya duniani
Watoto wengi wa vigogo wa zamani yaani akina Mahiga, Job Lusinde, Daudi Mwakawago, Christopher Ny'ang'anyi na wengine, watoto wao walikwenda kule kusoma (wakitokea Tanzania na sifa nzuri au za wastani) na walikuwa na muda khasa wa kupiga kitabu.Alipata nafasi ya kusoma baba akiwa diplomat