TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

He must've flipped over in his 2022 BMW while driving drunk at 150 km/hr on the expressway.
 
Ndiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!

Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!

Namtakia pumziko la milele.
Umri wa marehemu ni mkubwa

Enzi zile wote tulisoma serikalini … na tulijivuna kuwa serikalini

Hizi shida zimeanza juzi tu

Tujifunze kuelewa nyakati
 
Alipataje nafasi mbona anaonekana Kama limbukeni hivi ,muhehe gani huyu
 
Kazi inahitaji mtu aongee Kiingereza na Kifaransa. Nitapewaje mimi wa St. Kayumba Academy?

Poleni wafiwa!
Kazi inahitaji connection wala sio lugha peke yake, kama ingekuwa hivyo karibia waganda/wamalawi wote wangekuwa ulaya
 
Nakubalina na wewe kuwa Waganda na Wamawi wote wanaongea Kiingere na Kifaransa ila hawana connection tu. Bila shaka hili linakupa tabasamu kubwaaa...
Kazi inahitaji connection wala sio lugha peke yake, kama ingekuwa hivyo karibia waganda/wamalawi wote wangekuwa ulaya
 
YIMAGAVA YATAWEE; YIMAGAVA YIYENE YITEGWE; TULUMBAGE ILITAWA LYAKWE, NENG'UNI NA MBEPALI...TWILUMBA MUWUDATU AMENI. TWIWONAGA MUNYALUKOLO HUNGILAGE NA YUDADOO NA MUTWA MUKWAVIINYIKA
 
Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga, maarufu kama "Mike" amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi mbalimbali za Kifedha na Masoko ya Mitaji akiwakilisha nchi kadhaa za Asia na Afrika.

View attachment 2120826
Mikola Mahiga

Chanzo: Milard Ayo (Twitter )
R.I.P bro haya maisha tunapita tu ni mafupi sana,Mungu awape uvumilivu wafiwa wote.
 
Umefanya tu makusudi kuto kunielewa, au ni bahati mbaya! Wapi nimetaja nje? Mimi nimeongelea kwa ujumla wake! Wapo watoto wa vigogo wengi tu wenye ufaulu wa kawaida, lakini wapo kwenye vitengo nyeti!
Sio wa ufaulu wa kawaida tu, hata wa ufaulu wa chini wengi wapo kwenye vitengo.
 
Nakubalina na wewe kuwa Waganda na Wamawi wote wanaongea Kiingere na Kifaransa ila hawana connection tu. Bila shaka hili linakupa tabasamu kubwaaa...
Na haiwezekani wote tukawa na connection zinazolingana
 
Back
Top Bottom