Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Kaboom
Hiyo maana yake "kila nafsi itaonja umauti "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaboom
WaaaapiiiiHiyo maana yake "kila nafsi itaonja umauti "
Na haiwezekani wote tukawa na connection zinazolingana
Acha uongo yani uwe na uwezo mdogo alafu ufanye kazi kwenye taasisi kubwa nje?
Na hawasomagi kozi za kijinga..kama ualimu..udaktari..unesi.Watoto wa vigogo wanakuwaga na kazi nzuri nzuri. RIP
Jamaa wajanja sana..hawataki masikini waelimike..sasa kiswahili kitakupa exposure gani zaidi ya kuzunguka nchi za east afrika tu.Kiingereza tu ni kipengele kinachotosha kumtoa mtu kwenye reli . Kikiongezwa Kifaransa ndio kabisaa.
Utawasikia wenyewe wanakuambia Kiswahili ni lugha adhimu,inatambuliwa kimataifa.
Nadhani ungeandika kiswahili ingefaa zaidi.innalilah wainna ilaih rajiun mtoto wa bwanyenye
Unaanzaje kusema ualimu...udaktari...unesi ni kazi za kijinga?....Rais Hussein Mwinyi unajua amesoma nini?......huna exposure....pole sana....Na hawasomagi kozi za kijinga..kama ualimu..udaktari..unesi.
Utasikia kasoma uchumi..uhasibu..biashara..uongozi..sheria.........diplomasia.
Ila wamiliki njia za uongozi na uchumi..waendelee kutawala siku zote.
Akili mtu wangu.
All in all pumzika salama.
#MaendeleoHayanaChama
Pole kwa familia yake...
Hizo ni kazi za class c citizen..sio za watawala..sasa kwa akili yako h.mwinyi bila jeck ya policcm angekuwepo hapo.Unaanzaje kusema ualimu...udaktari...unesi ni kazi za kijinga?....Rais Hussein Mwinyi unajua amesoma nini?......huna exposure....pole sana....
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mbona Lemutuz ni mission town?Ndiyo inavyokuwa! Siku zote kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake. Huwezi kumkuta mtoto wa kigogo kwenye shule ya kata akifundisha! Huko utawakuta watoto wa maskini pekee!
Hao mara zote utawakuta kwenye ofisi zenye viyoyozi tu! Hata wawe na ufaulu hafifu kiasi gani!
Namtakia pumziko la milele.
Unafikiri matajiri wana huruma na wewe?Umaskini umenifanya nisiwe na huruma na matajiri.
Sema alikua handsome kijana huyu daaah, ardhi inameza wengi.Basi asafiri salama huko aelekeapo Amina
Mbona umeandika kwa chuki sana, kwani we ni tajiri?Unafikiri matajiri wana huruma na wewe?
Usinikasirikie mimi sio mbaya wakoUnafikiri matajiri wana huruma na wewe?
Ni kweli kabisaaah.Na hawasomagi kozi za kijinga..kama ualimu..udaktari..unesi.
Utasikia kasoma uchumi..uhasibu..biashara..uongozi..sheria.........diplomasia.
Ila wamiliki njia za uongozi na uchumi..waendelee kutawala siku zote.
Akili mtu wangu.
All in all pumzika salama.
#MaendeleoHayanaChama