Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

Umh.... Labda kwa baadhi ya matawi. Binafsi nina wiki nne za mwezi tangu nikamilishe michakato ya kuomba, lakini mpaka leo kimya. Mpaka nawafikiria vingine
 
Umh.... Labda kwa baadhi ya matawi. Binafsi nina wiki nne za mwezi tangu nikamilishe michakato ya kuomba, lakini mpaka leo kimya. Mpaka nawafikiria vingine
Uliombeaga wapi huko?! Maana kama ni mjin dsm nadhan si zaid ya wiki...
 
Kwa apa Dar es salaam kidogo wanajitaidi kidogo. Unajua ktk mkopo ladhima kupitia documents zote na kujua mkopo uliochukua unalingana na mali halali husika
 
Mkuu mfano nikihitaji kuchukua mkopo crdb ilihali mshahara wangu unapitia NMB je inawezekana
 
Mkuu mfano nikihitaji kuchukua mkopo crdb ilihali mshahara wangu unapitia NMB je inawezekana
Kiongozi hujajiuptodate siku nyingi sana....sikuhzi haijalishi mshahara unapita benk gan....mradi ni muajiriwa wa serikali basi unalamba hela
 
Kwa hiyo lazima uwe mfanyakazi wa serikali not otherwise
Ninavojua wafanyakaz wa serikali na mamlaka zake wanapata mikopo kirahisi zaidi kuliko kwa private companies. Kwa makampuni binafsi ni lazma kuwa na makubaliano ya awali na benki....! Wafanyakazi wa seerikali ni swala la kukamata salary slip unchoma benki yyte utakayo....lakin preffered ni nmb na crdb...
 
Sio kweli unachokiandika hapa. Hata wafanyakazi wa serikali ni lazima mwajiri wake asaini makubaliano na benki husika baada ya hapo wafanyakazi wa idara husika ya serikali wanaweza kwenda kopa kwenye hiyo benki!
 
Kiongozi....nina hakika na ninachokisema...utaratibu wa MoU ulishakufa...angalau miaka 3 au 4 iliyopita...badala yake mfumo wa HCMS ambao unamilikiwa na ofisi ya raisi utumishi wa umma...ndo unacontrol mambo...! Baada ya kuanzishwa mfumo huu....serikali ilitoa waraka rasmi wa kusitisha mambo ya MoU.
 
Ni bonge la uzi nimevuna mengi. Ila bado sijapata jibu nikope crdb au nmb au posta.
Mimi nataka nikope nijenge angalau kajumba ka vyumba vitatu sebule dining jiko na stoo. Je mkopo wa JIJENGE wa crdb utanifaa au nisawa na mikopo yao mingine?
 
AC
ACHA UONGO. SALARY SLIP ZA MIEZI SITA NA SIO MITATU KAMA ULIVOAINISHA HAPO JUU
 
Kweli mkuu ogopa sana mtu anayecheza na namba yaani wanavuta pesa taratiiibu ka hawataki vile wakati mkopo waliokupa hata ukumbuki unaifanyia nini. Aisee.
Kwahiyo tufanyeje sasa wakuu ili tuepuke kukopa. Na mshaara huu huwezi kufanya kitu
 
Ni bonge la uzi nimevuna mengi. Ila bado sijapata jibu nikope crdb au nmb au posta.
Mimi nataka nikope nijenge angalau kajumba ka vyumba vitatu sebule dining jiko na stoo. Je mkopo wa JIJENGE wa crdb utanifaa au nisawa na mikopo yao mingine?
Wakikujibu na mimi nitanufaika ila bank zote ni sawa tu, wananyonya balaa. Bora hata NBC
 
Barclays ni nzuri, inakopesha kwa 18% mpaka 22%. Inatoa mkopo kuanzia 1,000,000/= hadi 80,000,000/= muda wake ni kuanzia miezi 12 mpaka 60.
Nenda barclays.
 
Barclays ni nzuri, inakopesha kwa 18% mpaka 22%. Inatoa mkopo kuanzia 1,000,000/= hadi 80,000,000/= muda wake ni kuanzia miezi 12 mpaka 60.
Nenda barclays.
Mkuu ongea na walimu vizuri afu Ndo uwambie wakakope Barclays Bank au siku masharti Yao wamelegeza? Yale chin ya balance 5kilos account inafungiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…