navache
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 499
- 368
Umh.... Labda kwa baadhi ya matawi. Binafsi nina wiki nne za mwezi tangu nikamilishe michakato ya kuomba, lakini mpaka leo kimya. Mpaka nawafikiria vingineCRDB wako vizuri sana katika hili Muhimu ww kama mkopaji umalize process ndani ya muda mwafaka af mikopo sikuizi inachukua siku tano za kazi hivo kama unahitaji mkopo mkubwa na wenye tija huto juta kuchukua Mkopo CRDB na kitu cha msingi riba ya CRDB inavochukuliwa ni tofauti kidogo na Bank nyingine kwao Riba inaenda ikipungia