Weak currency inazisaidia sana nchi ambazo zina nguvu ya kuzalisha kama China. Kwa nchi zetu maskini inafanya kuimport mahitaji ya kila siju na hata mashine za uzalishaji iwe ghali sana.
Naam,
Ndiyo maana nikasema weak currency si tatizo. Tatizo ni kuwa na weak currency bila ya kuwa na economic strategy ya kufaidika na weak currency.
Mchina kaweza kuwa na economic strategy ya kufaidika na weak currency, kwa sababu yeye anaangalia weak currency inavyochochea exports kutoka China.
Faida ya exports za kutoka China kuwa kubwa imepita hasara za China kuwa na weak currency, wamepiga mahesabu exactly how to benefit from a weak currency, kiasi wana i manipulate currency yao isipande thamani na kuathiri exports.
Sisi tatizo letu hatujaweza kuwa na strategy.
Hatuna strategy ya kuongeza thamani ya shilingi yetu ili imports ziwe rahisi kwetu.
Lakini pia, hatuna strategy ya kufaidika na weak currency kama China, kwa maana ya kuchochea exports, kwa sababu exports zetu si nyingi kiadi cha kufanya weak currency iwe na faida kwetu.
We get the worst of both worlds.
Focusing on the strenght of the currency as an indicator is focusing on the wrong thing.
Kwa sababu watu wanaweza kutumia strong currency kupata uchumi mzuri, na watu wanaweza kutumia weak currency kupata uchumi mzuri.
Kitu muhimu zaidi ya kuangalia una strategy gani? Kuna strategy ya kupata uchumi mzuri kwenye weak currency na pia kwenye strong currency.
Tatizo letu hatuna strategy.