Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Inaonesha ni kwa kiasi gani bado unaathiriwa na utumwa wa kifikra kwa kuwatukuza hao ngozi nyeupe. Kiuhalisia ngozi ni Wahaya waliochangamka tu, majigambo mengi na kujikweza lakini haimaanishi kwamba wao ni bora kuliko watu wa Afrika.
Umesema ghorofa zinapanda kama uyoga Kariakoo, je, huoni kwamba ni heri hiyo faida iliyopatikana bado imeendelea kubaki nchini na itasaidia kukuza uchumi wetu kupitia ajira zilizotengenezwa na hiyo sekta ya ujenzi? Umewaza ni raia wangapi wa nchi hii watapata ajira baada ya hayo maghorofa kukamilika?
What if hiyo faida yote iliyopatikana kupitia hiyo riba ya mikopo kama ingekuwa imeenda nje ya nchi na kuendeleza mataifa ya ngozi nyeupe kungekuwa na turnover yoyote kwenye uchumi wetu?
Acha kukaririshwa chuki na ujinga bila kujipa nafasi ya kuchambua hoja kwa upana wake. Nina mashaka na nafasi yako kwenye familia yako, utatuletea kizazi cha ajabu sana nchini kwahy mentality uliyokuwa nayo
 
Magufuli huyu ambaye alikua anaficha fedha canada na china
 
Pamoja na mabaya yake lakini aliokuwa anakopa zinaenda kwenye miradi husika na hapakuwa na matumizi makubwa kama hii awamu ya maza
 
Twende taratibu.

JPM alikopa bank gani na kiasi gani?

Mpaka sasa mama analipa kiasi gani Kwa mwezi hiyo mikopo?
Sina tatizo la kukopa lakini fedha zilikuwa zinaelekezwa kwenye miradi, awamu hii wanakopa ajili ya kulipana posho nono na ufisadi
 
Unajua hakuna kitu kibaya kama kujiongopea.

Ukishaanza kujiongopea na kuishi kwa uongo, inabidi kila siku utunge uongo mwingine to back up uongo wa awali.

Baada muda mrefu wa kutunga tunga uongo unajikuta maisha yako yametawaliwa na uongo. Huo sasa ndio mwanzo wa kuishi kwenye delusional world na kujiaminisha uongo unaoamini wewe na wengine wote unao jaribu waaminisha ni wapuuzi wa kuamini.

Hapo ndio mlipomfikisha ‘bi-tozo’ mmemuongopea mama wa watu kaja kushtuka baada ya madhara kuwa makubwa.

Ukope zaidi ya trillion kumi kwa miaka mitatu halafu umsingizie Magufuli madeni ya kikuelemea, what do you people take us for (ni kwamba sisi watanzania hamnazo kweli kweli).

Amkeni kutoka kwenye hizo njozi zenu za uongo; meli ina zama hiyo.
Hayo madeni yaliyokopwa ndani ya miaka mitatu hayajawa matured makali yake tutaanza kuyaona baada ya miaka 8 au 10 na kuendelea
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Kwa kuwa hawezi kuwajibu ninyi kwibeni tu mnavyoweza kisha muangushieni Jumba bovu yeye. !!
Watu wameshajua janja zenu ndio maana unaona Makonda na Vibe lake kwa Wananchi !!
Hatudanganyiki tena forever !!
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Garbage!!
 
Ngonjera zipi nyie ndo wale hata deni la taifa hamlijui

Eleza deni ni kiasi gani, toka benki gani ya biashara kwa riba ya kiasi gani. Ndiyo tunataka tuone. Lkn siyo kutujaza hisia eti deni linatokana na mikopo ya biashara.
 
Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu

Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara

Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa

Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda

Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga

Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli

Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Sas mbona umeandika ngonjera 😂😂😂.

Ukitoa tuhuma hakikisha unakuja na uthibitisho wa tuhuma hizo ili usiache maswali kwa watu.

Ungetuambia kwa uthibitisho huu magufuli alidanganya kwenye garama na muda kwenye miradi.

Tuambie magufuri alikopa bank za kibiashara na kupitia kukopa huko kumeleta athari hizi.Utuambie athari zilivyoletwa na hio mikopo.
 
Utapingwa sana na watu wasio fahamu mambo ya fedha lakini uhalisia ndio huu. Mikopo ya kibiashara huiva mapema mno na inakuwa na riba kubwa.
Alikopa kiasi Gani na alikopa wapi? Kwamba hakuna dola eti zinalipa deni badala kusema mnaiba nakusafirisha nje mama amepanga genge la wahuni ngoja watunyooshe.
 
Hayo madeni yaliyokopwa ndani ya miaka mitatu hayajawa matured makali yake tutaanza kuyaona baada ya miaka 8 au 10 na kuendelea
Sasa kama mikopo ya ‘bi tozo’ bado ipo kwenye ‘grace period’, huku mnatuambia makusanyo ya kodi yameongezeka na kila siku anapata mikopo ya miradi.

Serikali inashindwa vipi kumudu madeni kwenye situation ambayo kwa maelezo yenu tafsiri yake ‘cashflow flow’ yao ni nzuri.

Phase zote hizo alizoanza ‘bi-tozo’ hela kapewa na hana commitment ya kulipa huku nako makusanyo yameongezeka iweje hayo madeni ya awali yawashinde kumudu.

Kama nilivyosema awali hakuna kitu kibaya kama kujiongopea. Eventually kila itabidi utunge uongo ku-cover uongo mpaka uongo utakapokuja ku-catch up na wewe. Lying is never sustainable in the long run.

I am not sure you’ll get this, hizo hela wanazompa sio bure ‘the economic hit man, is at work’.

Kinachotafutwa hapo ni ku-overwhelm nchi na madeni mpaka mkubali kutoa gas kwa investment ya $42 LNG plant ni sawa na kugawa bure kwa miaka mingi sana na hiyo overpriced investment $35+ billion ni withdrawal kwenye uchumi wa Tanzania (through material imports) ina rudi huko huko kwao.

Wewe endelea kuimba mama kafungua nchi piga deal zako; ila elewa mwisho wake ni kugawa assets za nchi ambazo mapato yake zingewasaidia wajukuu zako kupata elimu bora, uwekezaji kwenye afya, miundombinu na mambo mengine ya msingi kwenye jamii hiyo gas nchi ikipata mkataba mzuri.
 
Alikopa kiasi Gani na alikopa wapi? Kwamba hakuna dola eti zinalipa deni badala kusema mnaiba nakusafirisha nje mama amepanga genge la wahuni ngoja watunyooshe.
Siwezi kukupinga kwa sababu aliwaaminisha anajenga kwa fedha za ndani na mlimuamini sana yule Mzee. Sie tunaosoma media za nje tulikuwa tunaona hizo fix.
 
Darcity, mimi nipo Nangunde hata mtandao wa simu ni shida,hizo media ni zipi,alikopa kiasi gani na alikopa Benki gani? Nje ya hapo ni chuki na kuhalalisha uovu unaofanywa na watawala wa Leo.
 
Watu wenye akili ndogo hawawezi elewa Magufuli alizingua sana
Tena sana anaendesha nchi bila semina Wala warsha,kitendo Cha kuchunguza vyeti feki na mishahara hewa mapato mliyozoea alizingua sana na kulazimisha umeme uwepo 24 hrs na maji pia, jamaa hafai kabisa. Hawa akina madelu wako sawa,dola wanahamisha umeme haupo nyie wenye akili nyingi mnaona sawa tu.
 
Hakuna watu wana akili za kipimbi kama CCM...
 
Fanya kazi upate hela hakuna rais atayekuletea hela na kukupa mkonononi
 
Back
Top Bottom