ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 754
- 1,478
Inaonesha ni kwa kiasi gani bado unaathiriwa na utumwa wa kifikra kwa kuwatukuza hao ngozi nyeupe. Kiuhalisia ngozi ni Wahaya waliochangamka tu, majigambo mengi na kujikweza lakini haimaanishi kwamba wao ni bora kuliko watu wa Afrika.Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu
Wakati magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako waliotubeza leo hii ndo madhara yanaanza kuonekana serekali inatumia makusanyo mengi ya kodi kulipa mikopo aliyochukua magufuli kwenye bank za biashara
Gharama za miradi aliyokua anaisema Rais magufuli ni ya uongo alidanganya maksudi ili apate political popularity gharama ya hii miradi ni mikubwa zaidi ya tulivyokua tunaambiwa
Muda wa kumalizika hii miradi ilikua ni uongo, tulidanganywa kwamba itawahi kuhisha lakin kiuhalisia itachukua mda mwingi na hata wakimaliza kuimaliza kuna uwezekano mkubwa wakalipua pua unakumbuka magufuli alishapingaga visibility study kwa sababu tu alihisi inampotezea mda
Japokua hali ni ngumu sana bank kama nmb imepata faida kubwa sana hii inamaan hakuna trickle down economy
Hii inamaana ela/fedha zinabaki kwa matajiri tu ila hazifiki kwa mtu wa katikati au chini ndo maan ukienda karikaoo magorofa yanapanda kama uyoga
Hakuna mtu in short run angeweza kushafisha haya madudu ambayo aliyafanya magufuli
Watu wanamlaumu samia na kumkumbuka magufuli ila ukweli ni kwamba angekua magufuli hali hii ingekua ngumu zaidi sababu angetumia ubabe na nguvu kuikabili kuliko akili
Umesema ghorofa zinapanda kama uyoga Kariakoo, je, huoni kwamba ni heri hiyo faida iliyopatikana bado imeendelea kubaki nchini na itasaidia kukuza uchumi wetu kupitia ajira zilizotengenezwa na hiyo sekta ya ujenzi? Umewaza ni raia wangapi wa nchi hii watapata ajira baada ya hayo maghorofa kukamilika?
What if hiyo faida yote iliyopatikana kupitia hiyo riba ya mikopo kama ingekuwa imeenda nje ya nchi na kuendeleza mataifa ya ngozi nyeupe kungekuwa na turnover yoyote kwenye uchumi wetu?
Acha kukaririshwa chuki na ujinga bila kujipa nafasi ya kuchambua hoja kwa upana wake. Nina mashaka na nafasi yako kwenye familia yako, utatuletea kizazi cha ajabu sana nchini kwahy mentality uliyokuwa nayo