Mikopo ya benki ni wizi uliokomaa, nimetozwa riba ya 81% kwa miaka 6

Wajanja sana huwa na hidden cost nyingi zisizoonekana,nimekopa mara Tatu nimeambulia hasara badala ya faida.
 
Wajanja sana huwa na hidden cost nyingi zisizoonekana,nimekopa mara Tatu nimeambulia hasara badala ya faida.
FCC wanafanya mchakato wa kureview mikataba yote ya financial institution ili kuondoa unfair terms zote kwa mlaji,hii inaweza kusaidia maana wengi hawasomagi mikataba ni mwendo wa kusign tu.
 
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Nawewe unachukuaje 20m ulipe kwa miaka sita? Kwanza ulichukua kwa ajili ya nini? Mikopo mzuri ni kwa ajili ya biashara. Hii mikopo mnayochukua mnafanyia ujenzi itawatokea puani.
 
Nitakujibu kesho
 
Nilitamani kukopa, baada ya kuona wameleta tangazo la kuwa wanakopesha kwa riba ya 18%, kwenda ofisini kwao kupigiana hesabu nikaona inakua 50% nikawaambia nitarudi...nilivyo mchungu na mchumi wa hela zangu hapana.
Benki gan hiyo mkuu?

Na mkuu, ilkuaje mpk ifkie riba 50% kutoka 18% ?
 
Wakuu,
Hivi hawa NMB riba kwa sasa NI asilimia ngap?

Maana nnavofahamu mm, huwa kwa NMB ni 25% kwa mwaka.

Nmetoka kuchukua mwaka Jana kwa hiyo riba.

Sasa nmeona kuna watu wengi humu mnasema NI 18%.

Hiyo umekaaje wadau?

Hiyo ni kweli ?

Na imeanza lini hiyo?

Au mm ndo nilipigwa?

Au imekaaje hiyo,Nifahamisheni aisee wadau.
 
Mabenki hasa ktk mikopo hapa Tz weziiiiii sanaaaaaaaa... Eg ukikopa 30 mil kwa miaka 6... Utarudisha total amount at the end of 6 yrs 54 mil... Yaani 24/30 × 100% = 80%..

Zingine hadi 85%... Hii mikopo ni sumuuuuu sumuuuuuuuuu
 
kumbe una abc za haya mambo
 
Mimi ninachojua riba ni 100%. Mengine ni uongo. Kwa mfano ukiomba mkopo wa 5m ,ustegemee kuingiziwa zote. Kuna
bima
Signing fee
Processing fee ,yaan mambo ni tele
 
Mimi ninachojua riba ni 100%. Mengine ni uongo. Kwa mfano ukiomba mkopo wa 5m ,ustegemee kuingiziwa zote. Kuna
bima
Signing fee
Processing fee ,yaan mambo ni tele
 
Faida wanapata mbona ukiweka fix account wanaweka faida kidogo?
 
Inaelekea hukusoma vile vimaneno vidogo vidogo ukakimbilia kutia sahihi tu upate hiyo pesa.. haujiamini..

Natumaini utakuwa umejifunza.. labda kwingine ingekuwa nafuu
 
Nendeni Bank Of Africa maarufu kama BOA wenyewe ni flat ratevya 11% kwa mwaka ukiweza kukopa kwa miaka 3 ni 33% ya mkopo wote
 
kila kitu ni fursa....benki wameona shida zetu fursa....ila ukweli ni kwamba hatupendani katika level zote...bila shaka ndo tulivofundishwa makwetu.
 
No, I am very smart. I just made an inquiry from a certain bank and was give that breakdown. I went into the loan calculator and confirmed that. By the way, I am not a teacher!
Which bank? Ili wadau wasing'atwe hahahah
 
No, I am very smart. I just made an inquiry from a certain bank and was give that breakdown. I went into the loan calculator and confirmed that. By the way, I am not a teacher!
Huo mkopo ungekuwa wa miaka 3 ungelioa riba ya chini zaidi, ungeweza kulipa kati ya milioni 28 na 32.

By the way, embu vaa viatu vya benki. Unampa mtu milioni zako 20 kwa miaka 6 ndio akurudishie mpaka Imalizike, je utamchaji riba chini ya hiyo milioni 16?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…