Usibishe, ngoja tuongozane, tuelimishane. Salaried loan si inaweza kuwa pia ya biashara, maana unajaza biashara pale, labda kama ni danganya toto!Honestly,
Sjawahi sikia mkopo wa biashara ukifika 18%.
Au kabda utakua mkopo wa nyumba huo kule NHC
Mkuu mkopo uliokopa na riba was very fair....Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Miaka 2,3,4 mpaka. hiyo riba ya 25% ni kwa mwaka, muda unavyoongezeka na fedha unayotoa nje ya principle amount huongezeka pia. Huwa ni zaidi ya hiyo 25%. Mpaka miaka 4 inaweza kuwa Marejesho(nje ya Principle amount) hufika kati ya 60-80%. Na ndio hiyo ambayo jamaa anaizungumzia.Hizo cumulative riba ni kwa muda gani?
Mbona mm NMB huwa nachukua kwa 25% kwa mwaka,nmetoka kuchkua tu pesa mnamo sept mwaka jana?
Jana nmempigia kumuuliza branch manager pale Mwenge anasema imeshuka ni 22% sahv.
Which is which?
Wengine mbona mnasema ni 18%, huku wanasema ni 22%
Yah!Miaka 2,3,4 mpaka. hiyo riba ya 25% ni kwa mwaka, muda unavyoongezeka na fedha unayotoa nje ya principle amount huongezeka pia. Huwa ni zaidi ya hiyo 25%. Mpaka miaka 4 inaweza kuwa Marejesho(nje ya Principle amount) hufika kati ya 60-80%. Na ndio hiyo ambayo jamaa anaizungumzia.
Kibiashara, au kibusara, inashauriwa kuwa tuwe tunakopa 20% tu ya fedha za hitaji. Kwa maana hiyo 80% iwe ni fedha za nje ya mikopo. Hapo utwaweza-kusurvive, kwani kama ukishindwa kibiashara, basi hiyo 80% hulinda na kukomboa 20% uliyokopa.
Tatizo ni kuwa, siku hizi watu hukupa 100% ya mtaji. HILO NI KOSA KUBWA SANA kiujasiriamali.
Signature yako inachekesha kweli, wewe ni Humanist au Capitalist? As a Human, kama unayo pesa ya kumkopesha mwenzako, kwanini udai riba? Hutaki afanikiwe mwenzako? hutaki mwenzako aachane na shida? Kwani ukimwambia nakupa mkopo lakini tufanye wote hio biashara kwa miaka mitano, ukipata hasara nimepata hasara ukipata faida na mimi napata faida, kwanini lazima ukimpa hela ajiendeshe akipata hasara unashindwa kumuelewa? Hivi wewe unajiita humanist kisha unaona ni sawa kabisa mtu anakwenda kupokonywa nyumba yake aloiweka bondi kisha alale wapi?Ya kwamba mwenye nacho asimuexploit asiyenacho kwa sababu ya "shida" yake, enzi hizo watu walikuwa wanakopa kwa ajili ya shida tu kama chakula nk. Sku hizi pesa nayo ni bidhaa, inauzwa na kununuliwa, benki biashara yao ni pesa, wanapokuuzia wanataka faida, wanapokukopesha wanataka faida. Mfanyabiashara anapokopa pesa naye anategemea akazungushe apate faida, sasa kwanini mwenye kukukopesha asitengeneze faida, pesa za kujiendesha na kukuza mtaji wa kuwakopesha wengine utamchangia wewe?!
Messenger, nakubaliana na wewe lkn, riba hiyo ni kubwa sana. Bado nafikiri nikope au niache ndio maana nikaleta uzi huu nipate mawazo. Bank ngoja niiache.Mkuu mkopo uliokopa na riba was very fair....
Maana kwa haraka haraka riba ilikua ni 18% perannal...
ukiipigia for 6 years ulitaka urudishe kiasi gani na umekaa na ela za watu?
Interest inacover vitu kama
- Time value of money
- Inflation rate
- Risk on loan premium
etc etc....
Ulikopea bank gan maana mimi natozwa 24% kwa iyo riba ningebeba ela hadi wanifukuzee...
Mkuu labda unadhani riba ipi ndo fair na kwa mda gani?Messenger, nakubaliana na wewe lkn, riba hiyo ni kubwa sana. Bado nafikiri nikope au niache ndio maana nikaleta uzi huu nipate mawazo. Bank ngoja niiache.
hii mikopo ipo kwa ajili ya wafanyabiashara,pls wafanyakazi subiri mafao kwenye mikopo ni pressure tuAngalia kiasi ninachopashwa kulipa kila mwezi toka kwenye mshahara wangu. je mshahara unafika huko? Kama unafika kitabaki kiasi gani kulinda maisha ya kila siku
Loan amount: Num payments: Annual Rate: Monthly Rate: Monthly Payment:: Total Paid
20000000 36 .2200 .01833 763809.06 27497126.29
Total Interest:7497126.29
Loan amount: Num payments: Annual Rate: Monthly Rate: Monthly Payment: Total Paid:
20000000 24 .2200 .01833 1037563.0 24901514.2
Total Interest:
4901514.2
Na ndiyo maana mfanyakazi anasubiri astaafu ndiyo ajenge maana kwa mishahara say ya walimu huwezi kujenga katu! Muda mwingine inabidi ujitose kunusuru hali ya uzeeni.hii mikopo ipo kwa ajili ya wafanyabiashara,pls wafanyakazi subiri mafao kwenye mikopo ni pressure tu
inaitwa kubeba mabomu.Na ndiyo maana mfanyakazi anasubiri astaafu ndiyo ajenge maana kwa mishahara say ya walimu huwezi kujenga katu! Muda mwingine inabidi ujitose kunusuru hali ya uzeeni.
Hawakukwambia kabla?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu?
Wachumi tuelimishe is it worthy ta
Signature yako inachekesha kweli, wewe ni Humanist au Capitalist? As a Human, kama unayo pesa ya kumkopesha mwenzako, kwanini udai riba? Hutaki afanikiwe mwenzako? hutaki mwenzako aachane na shida? Kwani ukimwambia nakupa mkopo lakini tufanye wote hio biashara kwa miaka mitano, ukipata hasara nimepata hasara ukipata faida na mimi napata faida, kwanini lazima ukimpa hela ajiendeshe akipata hasara unashindwa kumuelewa? Hivi wewe unajiita humanist kisha unaona ni sawa kabisa mtu anakwenda kupokonywa nyumba yake aloiweka bondi kisha alale wapi?
Ubinaadamu kazi na wewe huiwezi!
Ngoja nkupe kisomo basi;
Bank inatengeza hela kupitia transactions unazofanya, wanakata hela fulani, pia kila mwisho wa mwezi wanakata hela.
Kwenye kukopesha, zipo benk zinakopesha bila riba, na zinapata faida. hizi benki zinafanya sharing na wewe kwenye biashara ulioiombea mkopo.
Dah Mkuu umenikosha sana eti unajiita HUMANIST LOL!!!
Sijasema nimepewa as such, just read the context! hata nikipewa it does not matter, all i want is to let those interested know how RIBA stands in our banks!Hawakukwambia kabla?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Lakini katika hali ya kawaida kama hukufanya hivyo hutajenga ukiwa kazini (kama mfanyakazi) kwa mshahara. Labda uwe kwenye sehemu ya rushwa which is not good kula rushwa. haya mambo ni magumuUsinikumbushe nilikopa mil 6....nataakiwa kutudisha mil 10.....kwa miaka 5
Anajenga tu, sema atachelewa kumaliza.Lakini katika hali ya kawaida kama hukufanya hivyo hutajenga ukiwa kazini (kama mfanyakazi) kwa mshahara. Labda uwe kwenye sehemu ya rushwa which is not good kula rushwa. haya mambo ni magumu
Sema wewe haujawahi kukunufaisha. Lakini watafutaji wananufaika namikopo kila siku, inafikia kipindi benki na wewe mnajadiliana riba ya mkopo husika ili kupata rate itayokufaa!Mkopo haujawahi mnufaisha mkopaji hata siku moja
Haponi Kiwanja....msingi na bomaAnajenga tu, sema atachelewa kumaliza.