Mikopo ya kausha damu ipo mtaani, tuwe makini

Upo utaratibu wa kufuata ikiwemo idhini ya mahakama na tena ikiwa mdeni atakiri hana uwezo tena wa kulipa wakati huo (huenda akaomba muda wa kulipa uongezwe na alipe kidogo kidogo kwa muda fulani).
muandike mdaaa kama hizi mkuu kwa wanaodaiwa waelewe najua wengi wanamikopoo kama yote humu wakidaiwa wajue wanajiteeteaje
 
mkuu hiki ndio kilichotokea maana nilimuuliza mjumbe imekuwaje akasema mdada kasaini kifo mwenyewe so wakati mwingine n njaa na shida zinatumaliza mkuu
 
kuna mmoja nimeona fb juzi unalipwa masaa 24 hahuitaji dhamana nkawacheki he wanataka nitume 25k ya kujiunga si unikate huko...akagoma.... nkawaza waleeee wanataka kurudisha hela zaooo..nkazima simu nkatoa betri kama masaa mawili nkarudisha nkasema ahsante mola nimekoma nao sirudi tena
 
Utakufa maskini, matajili wote wana madeni makubwa, usiogope mikopo ila kopa kwa Mipango siyo kununulia vijora na kutowa Zawadi kwenye birthday, ndio kinachowatesa Dada zetu wa uswahilini kwenye kausha damu zao.
NIkope nikafanyie nini?
Nakula, navaa, nalala pazuri na bando sikosi😄.
 
Hehdhhswhah an NY as jf haves nesebendsnsjsnhhene
 
Mkuu ni kama umenikumbusha vile,nipo safarini naenda wilaya x,mala paa naona msg ikisema una mfahamu furani Nini Fulani? Sikujibu msg,mara akapiga. Haloo unaongea na Afisa mikopo kutoka kampuni ya KOPA FASTA, unamfhamu furani bini furani nikasema ndio namfahamu Kuna Nini? Akasema uyu ndugu alikopa Katika kampuni yetu na ajalipa na tukimpigia simu apokei.Mimi nikamuuliza je namba yangu umenipata wapi? Akasema wakati anajaza mkopo online aliweka namba Yako kama mtu wa karibu.Kwaiyo mpigie simu mwambie alipe mkopo. Kilichonikela ni huyu ndugu yangu kutumia namba yangu kukopea pasipo kuniambia,nimempigia simu kumuuliza analeta maneno kibao Yani nime mmaindi kinoma [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] Nimemwambia alipe deni haraka..Dahhhhhh .Kausha damuuuuuuu ni hatariiii.
 
hawaibiwi wale mpwaaaaa.......masharti yake balaaa bora mtu akwambie utubu uende mbingguni
 
Hata kwenye simu kausha damu ipo.
Simu yenye Ram 1G na storage 8Gb ambayo kwa cash haifiki hata laki moja na nusu lkn kwa mkopo unainunua laki 3 na 50 mpk laki 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…