Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Usipende ngono sana kijana. Kuna watu wengi wamekufa sana kwa tamaa ya ngono.Huoni fursa ya kumla kimasihara Leo?
#YNWA
Ngono iliyoruhusiwa ni ya ndoa yaani mke na mume tena wawe na kiasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende ngono sana kijana. Kuna watu wengi wamekufa sana kwa tamaa ya ngono.Huoni fursa ya kumla kimasihara Leo?
#YNWA
Hapana siwezi kukopa kwa mtindo huo wa kausha damu. Nina akili timamu bado..demi kuna siku utajaaa kwenyeee mfumo waoo trust me
walee nguvu zao siooo
hahaaaaaaaaaaaa nasemaje u ll rcv double double u entering n nxty level..mke wangu alipokea haya maombi usiku mmoja gafla nxtywk akaja na samsung kadai kakopa goti hahaa amelipa 70 kkwanza analipa 30k kila mwezi...kha kwenda kuulizia bei ya simu mkuu aiseee ..kumwonyesha bei niliscreenshort hivi sasa anajuata namtaniaga rcv double double ila usilete kausha damu tuHata kwenye simu kausha damu ipo.
Simu yenye Ram 1G na storage 8Gb ambayo kwa cash haifiki hata laki moja na nusu lkn kwa mkopo unainunua laki 3 na 50 mpk laki 4.
Mufti hadi mambo ya riba unayajua🤣🤣🤣Unaanza na 20,000 unarejesha 26,000 ndani ya siku nane.
Maisha huwa yanabadilika na huwa yanachapa viboko na kuunguza km moto. Usiombe yakukuteNIkope nikafanyie nini?
Nakula, navaa, nalala pazuri na bando sikosi😄.
Ni hatari sana. Siku moja atembelee wodi za wagonjwa wa Ukimwi ndiyo atajua kuwa kulinda afya ni muhimu sanahasa zembee akimbie kabisa
Kweli naomba Mungu yaendelee kuwa hivi na zaidi ya hivi.Inabidi uendelee kumuomba Mungu maisha yako yawe hivyo hivyo.
Maisha huwa yanabadilika na huwa yanachapa viboko na kuunguza km moto. Usiombe yakukute
sana mpendwa mi zaman nilikuwa sana mfwasiwa cndm kwa sasa hata hao nanii sitakikuwasikia namtaniagamke umenitengeneza kweli .....yaan naogopa kama kibenaNi hatari sana. Siku moja atembelee wodi za wagonjwa wa Ukimwi ndiyo atajua kuwa kulinda afya ni muhimu sana
Duh, wana ujenzi nini. Mbona riba kubwa hivyo halafu ndani ya siku chache. Anyway, kusajili line ni bukuUnaanza na 20,000 unarejesha 26,000 ndani ya siku nane.
Wengine hawana kadi ya nida! Kuna ambao wanaitaji namba tu? Wapi hao tuwafirisiPesa X nadhani wakuchap ila kwenye kudai watakusumbua balaa but hawana inshu
Nani hao mkuuNilikopa, siku niliyolipa nililipa deni na riba ya asilimia 40, si wakaanza kupiga simu wanadai riba iliyobaki.....nikawaambia mshukuru nimewalipa....nikawablock.
Ila Wana mikwara.
Umaskini unakusumbua..pole sanakuna mmoja nimeona fb juzi unalipwa masaa 24 hahuitaji dhamana nkawacheki he wanataka nitume 25k ya kujiunga si unikate huko...akagoma.... nkawaza waleeee wanataka kurudisha hela zaooo..nkazima simu nkatoa betri kama masaa mawili nkarudisha nkasema ahsante mola nimekoma nao sirudi tena