The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,336
- 3,236
Wanaajiriana tuu Kwa kujuana,bila kujua Hata customer care!
Habari mkuu naomba tuchati whatsapp namba natuma imbox
Dunia ina mambo
Umasikini ni kitu mbofu mbofu mkuu.
Dah..hakuna kazi rahisi🤣🤣
Mambo ni mengi best, pengine ni mpaka November ndio nitaandika simulizi yenye kurasa zaidi ya mbili.Dunia ina mambo
Mkuu simulizi sioni kabisa siku hizi
Pamoja mkuu, mashabiki zako tunakusubiri kwa hamuMambo ni mengi best, pengine ni mpaka November ndio nitaandika simulizi yenye kurasa zaidi ya mbili.
Mwamba hana noma hata ukimdhalilisha poa😃