Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Asante mkuu, (nje ya mada) nimeona Marry Diana kanifungulia uzi huko dakika 13 zilizopita nautazama tu sitaki hata kuufungua naomba uufungue unihadithie kuna nini ndani yake tafadhali.Pamoja mkuu, mashabiki zako tunakusubiri kwa hamu