Mikutano imeanza bila kuwa na hoja za kuitikisa Serikali ya Rais Samia

Weee ni chawa. Hamna great thinker ambaye anaweza kuwa chawa
 
Ukiona Mtu haioni hii inflation huyo ni maiti inayotembea!
Kwani huzioni juhudi za mh Rais tangia awali? Nchi gani isiyo na mfumuko wa Bei? Huoni na kufahamu kuwa Hilo suala la kidunia? Huna taarifa kuwa kitakwimu katika suala la mfumuko wa Bei Tanzania na serikali take imefanya vizuri katika kulikabili
 
Hayo yote mbona nimeyaeleza hapo juu kuanzia Afya,Elimu,kilimo,uchumi n.k?
 
Kwani huzioni juhudi za mh Rais tangia awali? Nchi gani isiyo na mfumuko wa Bei? Huoni na kufahamu kuwa Hilo suala la kidunia? Huna taarifa kuwa kitakwimu katika suala la mfumuko wa Bei Tanzania na serikali take imefanya vizuri katika kulikabili
Hayo maswali ni kama unajiuliza wewe mwenyewe!
 
Kwahiyo mchele kuuzwa 3,000/- kwa kilo moja unaona siyo hoja? Maharage kuuzwa 3,800/- kwako siyo hoja?
Hata kama ni chawa wa mama, angalau fikiri kidogo
Kilimo Ni biashara,unafahamu Bei ya mbolea mfukonwa DAP ulikuwa shilingi ngapi msimu uliopita? Ulitaka wakulima wapate hasara mpaka lini? Kwanini hamna huruma na wakulima? Mnajuwa ugumu wa jembe? Umewahi kulima ? Au umekaa tu huko mjini unasubiri wakulima wapinde migongo ili uje uwapangie Bei?
 
Tatizo lilianzia pale vyama pinzani vilpowekewa vikwazo katika shughuri zao za kisiasa hasa mikutano ya hadhara. Vyama hivi Kwa makosa vikaaza kupishana vyenyewe Kwa wenyewe badala ya kuwa imara na ukomavu katika hari ngumu waliyopitia. Hoja zikahamia kwenye kutafunana wenyewe Kwa wenyewe. Hii ilipelekea disorganization ya vyama.

Kufunguliwa Kwa shughuri za kisiasa kumekuja kama ghafla kwani vyama vingi vimepoteana siyo strong kama mwanzo, sawa na jambazi ulifunge miaka zaidi ya ishirini alafu siku ya kutoka ulipe ramani likafanye tukio, hapo ni sawa na Bure. Itachukua muda kidogo

Changamoto ya COVID-19 na vita ya Ukraine na Urusi, wanachi ni kama wameweka Kando siasa na kuhamia kwenye Mpira na betting
 
Unapouziwa mazao bei mbaya maana yake hata pembejeo za kilimo nazo ni bei mbaya. Nimetaja mazao ya kilimo kama end products kwenye mlolongo mzima wa ukulima. Hii maana yake serikali kuna pahala imeteleza ikasababisha kila kitu kwenye huo mnyololo kiwe na bei kubwa. Wala sikumaanisha wakulima wauze mazao yao bei ndogo, wakati wao wamenunua pembejeo kwa bei kubwa
 
Mfumuko wa Bei wa mbolea haukusababishwa na serikali ya CCM Bali ulikuwa Ni mfumuko katika soko la Dunia,Ndio maana unaona serikali ikiwekeza mabillioni ya Ruzuku ili kumtua mzigo mwananchi
 
Wewe chawa aliyekuambia kuwa lengo la mikutano hiyo ni kuitikisa Serikali? After all mikutano hasa bado kilichofanyika so far ni curtain raiser. Wewe endelea kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa na kuweka namba za simu wenye chama chao wanapeana pasi za upendo.
 
Aseme hivyo naye anasubiria mkeka? Huyo bwege ni chukizo hata kwenye familia yake
 
Andishi refu lakini pumba tupu
 
popobawa weweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…