Njoo ufanye mkutano wa hadhara huku nyanda za juu kusini uwaambie wakulima na wananchi kuwa wawaunge mkono kwa kuwa Bei ya mahindi Yao na Mchele watahakikisha kuwa vinashukaa Bei,majibu watakayokupa uje uyalete hapa
Asante mkuu kwa maswali yako,ningependaa kukujibu kuwa katika uwekaji wa pesa za Ruzuku uliofanywa na serikali ya Rais wetu mpendwa mama Samia ilileta tija Sana mfano katika mbolea kabla ya Ruzuku mbolea ya DAP ilikuwa inapatikana kwa laki moja na 40 lakini msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP inapatikana kwa Elfu 70 tu,je huoni hapo kuwa imeleta tija? Huoni kuwa mkulima kapunguziwa mzigo wa Bei? Huoni inamsaidia mkulima kumudu Bei?"Mfano suala la mfumuko wa Bei watanzania waliona namna serikali yao ilivyofanya juhudi katika kukabiliana nalo ,mfano katika mafuta serikali ilikuwa ikitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi"
Lucas mwashambwa !
Ebu niambie nikuelewe!
Sasa...pamoja na hayo mabilioni ambayo umeyataja,kuwa yamewekwa kama Ruzuku,ili kuokoa au kushusha mfumko wa bei...
.....inakuwaje kwamba bado bei ziko vilevile kwenye Masoko,Maduka na Mabucha?
Au unatuambia kwamba Sania Anatoa Ruzuku!
Halafu Mwigulu Anaficha bila kuziweka kwenye Mzunguko!
Wananchi wanahitaji kuona matokeo,ya kile kinachotamkwa na serikali.
Halafu pia!
Lucas mwashambwa
Unapaswa kuelewa kitu kimoja hapa!
Serikali inapoweka Ruzuku kwenye mbolea au Mafuta,halafu "Tozo" ikawa Palepale!
Umeme ukaendelea kuwa tatizo Sugu....
Bado tatizo linakuwa halijatatuliwa!
Sababu ni sawa na kutoa pesa mkono wa kulia na kuziham8shia mkono wa kushoto!
Serikali inakuwa inawakaamga watanzania kwa mafuta yao yenyewe!
Soma hiyo na uache mapambio mengi,wakati watu wanashindia mlo mmoja majumbani.
Kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima,halafu ukafungua mipaka na kuruhusu wageni wakiingia nchini na kufanya ulanguzi wa Mazao kiholela mashambani kwa hao wakulima!
Badala ya wageni kuishia kwenye Masoko ya kimataifa ya mazao!
Ambayo yalianzishwa kimkakati,ili pamoja na kuweza kutumia bei elekezi,lakini pia serikali ingekata kodi yake na pia kuongeza pato la Taifa.
Sasa inakuwa kinyume chake!
Hiyo Ruzuku,inawanufaisha Wakongomani,Wakenya,Wanyarwanda na pia mpaka Sudan kusini wananufaika na chakula kitokanacho na mbolea ya Ruzuku iliyokusudiwa kumuinua mkulima wa Tanzania.
Nasema hivyo kwa sababu,nimeshuhudia wakulima wakiuza mazao yao kabla hata ya kuvunwa mashambani.
Hii ni kutokana na mazingira magumu ya kipato,na uhotaji mkubwa wanaokuwa nao kwenye suala la Raslimali Pesa.
Nitakujibu vizuri sana kesho asubuhi panapo majaaliwa!Asante mkuu kwa maswali yako,ningependaa kukujibu kuwa katika uwekaji wa pesa za Ruzuku uliofanywa na serikali ya Rais wetu mpendwa mama Samia ilileta tija Sana mfano katika mbolea kabla ya Ruzuku mbolea ya DAP ilikuwa inapatikana kwa laki moja na 40 lakini msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP inapatikana kwa Elfu 70 tu,je huoni hapo kuwa imeleta tija? Huoni kuwa mkulima kapunguziwa mzigo wa Bei? Huoni inamsaidia mkulima kumudu Bei?
Suala la kutokufunga mipaka nalo ningependaa nikujibu kuwa lazima utambue kuwa kilimo Ni biashara na ufungaji wa mipaka miaka yote Ndio umekuwa ukimdidimiza mwananchi au mkulima kiuchumi na kubakia katika dimbwi la umasikini licha ya kuhenyeka Sana na jembe lake begani lakini mkulima amekuwa anashindwa hata kujenga nyumba Bora na hata kumuda gharama za Mahitaji mengine kutokana na kunyonywa katika Bei kwa kupangiwa Bei na mahali pa kuuza.
Ilichokifanya na I achokifanya serikali yetu shupavu na madhubuti chini ya uongozi Mahiri na imara wa mama Samia ni kuhakikisha kuwa inatunza chakula Cha kutosha katika maghala yake na kupeleka sehemu zenye uhitaji kwa Bei nzuri,suala kuwa watu wanaingia Hadi vijijini na kuiokosesha serikali Kodi ningependaa kukujibu kuwa huwezi ukasafirisha mahindi bila kulipia ushuru kutoka katika eneo husika nakufika mbali,fedha hizi za ushuru zimekuwa chanzo kizuri Cha halmashauri nyingi hasa huku kwetu nyanda za juu kusini na kusaidia katika Uendeshaji Wa shughuli mbalimbali Kama vile utolewaji wa huduma za kijamii Kama vile ujenzi wa shule, zahanati, Barabara, usambazaji wa maji Safi na salama n.k
Umeongea ukweli mtupu ila sijui kama watakuelewa.Hoja yao ni bei ya chakula ....SSH akitoa amri ghala moja tu au mawili yaingize mzigo mtaani, hoja inakufa.
Wanabaki kuimba katiba, katika hoja ya katiba, kitu ambacho wananchi hawaelewi CDM, au CDM wameshindwa kuwaelewesha watz, ni uhusiano wa maisha yao na katiba, wananchi wakiona shule, lami, kituo Cha afya, ulinzi na Usalama, wanajiuliza nini kimepungua?
Na CCM katiba wanayo mkononi, wanaweza kuweka muda wa miaka mitatu au mitano mbele ili ianze kutumika wakati serikali inaziandaa taasisi ambazo zitawezesha katiba hiyo ifanye kazi vizuri. Hoja inakuwa imekufa.
Ni sawa na hoja ya umeme, mvua imeonyesha, hoja imekufa. CCM Wana akiba ya maneno kupitia mradi wa umeme wa Stiglers, Rusumo, malagarasi, Kinyerezi 4 ambao Bomba la gesi linatumika kwa chini ya asilimia kumi. Wakilifungua Bomba kwa asilimia zote, umeme utawaka mpaka mfukoni mwa suruwali.
Ukosefu wa maji Dsm, mvua imeonyesha, hoja imekufa. Na hapa Kuna mradi wa Stiglers ambao utakuwa "super sub" ya mto ruvu katika kupeleka maji Dar es salaam na Morogoro.
Hapa ndio CDM wajifunze kuja na hoja ngumu ambazo zitavuka test of time, sio hoja inakuwa ngumu kama barafu kwenye friji, ikiwekwa juani inayeyuka
Wataelewa tu japo Ni wagumu wa kuelewaUmeongea ukweli mtupu ila sijui kama watakuelewa.
Nakuunga mkono Yohana Mbatizaji. Uwe na Dominika Njema!Ukiona Mtu haioni hii inflation huyo ni maiti inayotembea!
Unaungaje mkono wakati hoja haijajibiwa kwa hojaNakuunga mkono Yohana Mbatizaji. Uwe na Dominika Njema!
We Dogo kaa ukijua kwamba wakati wewe unaandika sisi wana CCM wengine tunaona aibu.Unaungaje mkono wakati hoja haijajibiwa kwa hoja
Mimi ninaandika kwa kuwa Nina hoja,fuatilia Takwimu za kiuchumi katika nchi za Africa uone namna Tanzania inavyofanya vizuri kiuchumi katika maeneo yote ikiwemo suala la kudhibiti mfumuko wa beiWe Dogo kaa ukijua kwamba wakati wewe unaandika sisi wana CCM wengine tunaona aibu.
Amina!Nakuunga mkono Yohana Mbatizaji. Uwe na Dominika Njema!
Ila John Una akili kubwa Sana. Hivi kweli kama Mtu unataka kuitetea CCM na unapenda iwe imara, unawezaje kutetea mfumuko wa bei au kujifanya huuoni? Kwamba Wananchi eti Wana maisha nafuu chini ya Samia kiasi kwamba wanaosema maisha ni magumu Wananchi wanawapuuza? Wananchi wa wapi?Ukiona Mtu haioni hii inflation huyo ni maiti inayotembea!
Una haraka kama unaharisha au unaliwa Kiboga![emoji91]Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema,kwa wafuatiliaji wa siasa Tuliona mapema kuwa upinzani utapata shida kubwa Sana majukwaani katika kujenga hoja zenye kuwashawishi na kuteka Hisia za Watanzania,kutokana na sababu kuwa Rais Samia amefanyia kazi kero na changamoto mbalimbali zilizokuwa zinawakabili watanzania.
Rais Samia amesikiliza sauti za watu wote na kufanya mazungumzo na watu wote wenye kuhitaji kusilizwa na kufanyia kazi kero zao na kutoa majibu na hivyo kuacha amani katika mioyo ya watu wote bila kinyongo au chuki mioyoni mwa watu,kwa kuwa mwenye kuonewa au kuumizwa au kuhisi kuonewa amepata nafasi ya kusikilizwa masikioni mwa Rais Samia lakini pia kila mtu anajiona Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu.
Ndiyo maana Tangia mikutano ya hadhara imefunguliwa unaona vyama vya siasa hasa chadema wakiwa hawana hoja za msingi zenye ushahidi wa kinyaraka au kitakwimu au kisayansi au kiuchumi,hawana hoja zenye kugusa maisha ya watanzania,hoja zote na masuala yote wanayozungumza kwakugu gusa yalishafanyiwa kazi na kutolewa majibu na serikali ya Rais Samia na watanzania kuridhishwa na majibu na hatua za serikali yao.
Mfano suala la mfumuko wa Bei watanzania waliona namna serikali yao ilivyofanya juhudi katika kukabiliana nalo ,mfano katika mafuta serikali ilikuwa ikitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi,wakati katika mbolea wakulima walishuhudia serikali ya Nahodha wao mama Samia akitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu.
Ukienda katika huduma za kijamii watanzania wameshuhudia namna ambavyo zimesogezwa karibu yao na hivyo kuwaondolea adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma,hii ndio sababu ambayo inawafanya watanzania wasimulewe mtu anaposema wasilipe kodi au tozo maana wanatambua kuwa kupitia Kodi na Tozo zao kwa Sasa watoto wao wanapata Elimu bure Hadi kidato Cha sita,vituo vya Afya vimejengwa kila Kona mfano miezi michache iliyopita kulijengwa vituo vya Afya takribani 234 vilivyotokana na Tozo zetu huku vyumba vya madarasa karibu elfu 20 vikijengwa hapa nchini na hivyo kuwafanya wanafunzi wote wanaofaulu kupata nafasi ya kwenda shule kwa wakati na kuanza masomo kwa wakati mmoja.
Upinzani wa Sasa na chadema ya Sasa imekosa hoja za kiutafiti na kiuchunguzi,inazungumza hoja ambazo zinamajibu tayari ,inazungumza hoja ambazo Hazina maana Wala kugusa maisha ya watanzania,chadema ya Sasa imebaki inaongea hoja za kimatukio na kimhemuko,kila mmoja na hisia zake au namna alivyoumizwa huko nyuma au namna alivyochangia chama chake mabillioni ya pesa, Hakuna mchumi ndani ya Chadema mwenye uwezo wa kujenga hoja za kiuchumi awapo jukwaani na akaeleweka kwa watanzania.
Hoja zote zinazozungumzwa na chadema Hazina ushawishi kwa watanzania kuweza kuwaunga mkono,hazileti mantiki Wala kufikirisha , haziisumbui Wala kuitikisa Serikali maana chochote wazunguzacho kinajibiwa na watanzania wanaozifahamu na kuziona juhudi na kazi za Rais Samia katika kuwatumikia,ndio.maana unaona akina Lisu wakipuyanga na kurukaruka kihoja bila kuwa na muunganiko wa kihoja na kueleweka.
Haileweke chadema wanasimamia Nini na msimamo wao ni upi katika masuala ya uchumi,haieleweke Sera na ajenda za chadema Ni zipi katika kumgusa mtanzania kiuchumi kama afanyavyo mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania katika kujenga uchumi shirikishi, chadema wanaonesha Ni wachanga kwa kila kitu na watu wasio na taarifa sahihi na za kutosha na za kiutafiti kwa kila Jambo zaidi ya mihemuko.
Wanaonesha namna ambavyo hawakujipanga na mikutano hii,wanaonesha walijipanga kumfanya mtu kuwa ajenda,wakutaka watembee na Lisu Kama mtaji wa kisiasa lakini kwa bahati mbaya Ni kuwa Lisu amepoteza ushawishi na siyo mzuri na Hana weledi wowote katika masuala ya kiuchumi,Hana uwezo wa kujenga hoja za kugusa maisha ya watu mpaka akateka hisia za watu,ndio sababu unaona muda wote anapuyanga na habari za katiba mpya ambazo zilishatolewa majibu na serikali ya mh Rais na kuwa katika mazungumzo na maridhiano kupitia kikosi kazi.
Wanayozungumza chadema siyo yanayowagusa watanzania hata kidogo na Yale yanayowagusa watanzania yamefanyiwa kazi na serikali ya Rais Samia na ndio maana ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuwapuuza wapinzania,Nimeona pengo kubwa Sana kwa wanachadema na viongozi wao kukosa mtu mwenye kujenga hoja za kiuchumi awapo jukwaani na kuweza kuwashawishi watanzania,Tangia zitto kabwe aondoke chadema imekosa mbadala wake wa kuwasaidia katika eneo Hilo la uchaambuzi wa masuala ya kiuchumi,
Lisu pamoja na kuwa alikuwa amekaa ulaya Ila hajabadilika chochote kiuongozi na kuonyesha kukua kiuongozi, bado ni mchanga,hajapevuka,bado anamihemuko,Hana muunganiko mzuri wa kihoja,Hana Subira Wala kifua ndio maana alihoji mbele za watu kuwa mbona Mbowe hajaja kunipokea?wakati hajuwi hata wenzake wamepanganaje, bado Hana ushawishi wa kihoja kwa masuala yanayogusa maisha ya watanzania,amejikita katika eneo moja tu ambalo nalo haelewi namna ya uwasilishaji wake wa kiushawishi awapo jukwaaani.
Rais Sami amewavuruga Sana wapinzani,Amewafanya wawe wa kuokoteza hoja,amewang'oa meno kihoja,wamekuwa vibogoyo maana wamemkuta amefanya kazi katika kila eneo na kugusa kila sehemu,ndio sababu ya kuona wakiwa wamekaukiwa hoja Sera na ajenda za kuwashawishi watanzania. Rais Samia Ni gwiji na nguli wa sayansi ya siasa na kawamaliza kisayansi na anasonga mbele kisayansi huku nchi ikiwa yenye amani na utulivu muda wote.
Hakika Rais Samia Ni chuo Cha uongozi kitembeacho,Ni maktaba ya vitabu vya aina zote,Ni profesa wa uchumi,Ni Nahodha Hodari,Ni Mwamba wa siasa za kisasa,Ni Jemedari muongoza njia,Ni komandoo wa kisiasa ,Ni Jasusi wa kiuongozi,Ni Jasiri kweli kweli,anakupiga na kukusambaratisha ukiwa umesimama kwa hoja nzito za kiutafiti ambazo ukiziandika unatunukiwa PHD katika chuo chochote kinachotambulikana Dunian,Ndio sababu ya kuona akitawala katika ndimi za wapinzani kwa kumpongeza ,Rais Samia kwa Sasa Ni Kama maji Usipoyanywa utayaoga Tuuuuuuuuuuu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Mwashamba ni mchumia Tumbo,sambamba na idadi kubwa ya viongozi wa CCM waliopo kwa sasa!Ila John Una akili kubwa Sana. Hivi kweli kama Mtu unataka kuitetea CCM na unapenda iwe imara, unawezaje kutetea mfumuko wa bei au kujifanya huuoni? Kwamba Wananchi eti Wana maisha nafuu chini ya Samia kiasi kwamba wanaosema maisha ni magumu Wananchi wanawapuuza? Wananchi wa wapi?
Bila Shaka hoja zangu zimekubana Koo na kukuminya mbavu ndio maana umeshindwa kuzijibu na kuishia kutumia lugha zisizo na stahaUna haraka kama unaharisha au unaliwa Kiboga![emoji91]
Vijana wa sasa wa UVCCM wamepoteza Ubora kwa sababu ya kuvizia teuzi!Ila John Una akili kubwa Sana. Hivi kweli kama Mtu unataka kuitetea CCM na unapenda iwe imara, unawezaje kutetea mfumuko wa bei au kujifanya huuoni? Kwamba Wananchi eti Wana maisha nafuu chini ya Samia kiasi kwamba wanaosema maisha ni magumu Wananchi wanawapuuza? Wananchi wa wapi?
Nitakujibu vizuri sana kesho asubuhi panapo majaaliwa!Majibu Yangu kwako....
Lucas mwashambwa
Nimeamua kuanza, kwa kuziweka hoja zako!
Sambamba!
ili twende hoja kwa hoja!
Wasomaji pia mniwie radhi kwa hilo,ila ni vizuri kupambanua!
"Lucas mwashambwa, post: 45119830, member: 674699"]Asante mkuu kwa maswali yako,ningependaa kukujibu kuwa katika uwekaji wa pesa za Ruzuku uliofanywa na serikali ya Rais wetu mpendwa mama Samia ilileta tija Sana mfano katika mbolea kabla ya Ruzuku mbolea ya DAP ilikuwa inapatikana kwa laki moja na 40 lakini msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP inapatikana kwa Elfu 70 tu,je huoni hapo kuwa imeleta tija? Huoni kuwa mkulima kapunguziwa mzigo wa Bei? Huoni inamsaidia mkulima kumudu Bei?
Suala la kutokufunga mipaka nalo ningependaa nikujibu kuwa lazima utambue kuwa kilimo Ni biashara na ufungaji wa mipaka miaka yote Ndio umekuwa ukimdidimiza mwananchi au mkulima kiuchumi na kubakia katika dimbwi la umasikini licha ya kuhenyeka Sana na jembe lake begani lakini mkulima amekuwa anashindwa hata kujenga nyumba Bora na hata kumuda gharama za Mahitaji mengine kutokana na kunyonywa katika Bei kwa kupangiwa Bei na mahali pa kuuza.
Ilichokifanya na I achokifanya serikali yetu shupavu na madhubuti chini ya uongozi Mahiri na imara wa mama Samia ni kuhakikisha kuwa inatunza chakula Cha kutosha katika maghala yake na kupeleka sehemu zenye uhitaji kwa Bei nzuri,suala kuwa watu wanaingia Hadi vijijini na kuiokosesha serikali Kodi ningependaa kukujibu kuwa huwezi ukasafirisha mahindi bila kulipia ushuru kutoka katika eneo husika nakufika mbali,fedha hizi za ushuru zimekuwa chanzo kizuri Cha halmashauri nyingi hasa huku kwetu nyanda za juu kusini na kusaidia katika Uendeshaji Wa shughuli mbalimbali Kama vile utolewaji wa huduma za kijamii Kama vile ujenzi wa shule, zahanati, Barabara, usambazaji wa maji Safi na salama n.k
Siyo kila anayetoa maoni yake anakuwa anavizia uteuzi,labda ungeniambia wanaoshinda humu wakitukana bila sababu na kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali bila kuwa na hoja za msingi wanakuwa wanavizia Nini?Vijana wa sasa wa UVCCM wamepoteza Ubora kwa sababu ya kuvizia teuzi!
Vyama vya siasa haviwezi kuongelea hoja ya msingi kwa sasa kwani viongozi wao wako likizo baada ya kulipwa na serikali ili wanyamaze kuongea. Tanzania hatuna upinzani wa ukweli kwani wapinzani wote chimbuko lao ni CCM na bado wana uanachama huko. Viongozi wa upinzani wakiishiwa tu hela wanaanza kelele na kuikosoa serikali, nayo serikali inapanic na kuwalipa hela za kutuliza kelele.Ndugu zangu watanzania,