Mikutano imeanza bila kuwa na hoja za kuitikisa Serikali ya Rais Samia

Jifunze kutetea wanyonge acha kutetea tu tumbo lako kila siku huku watu wengi wakiteseka kwasababu ya uongozi mbovu tangu tupate uhuru.
 
What a shit.......
 
Jifunze kutetea wanyonge acha kutetea tu tumbo lako kila siku huku watu wengi wakiteseka kwasababu ya uongozi mbovu tangu tupate uhuru.
Kachukue fomu ugombee Kama unaona uongozi Ni mbovu tangia tupate Uhuru, watanzania Tunaridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya CCM
 
Hata wewe huna hoja za maana ndiyo maana mamlaka ya uteuzi haijakuona kwenye mkeka wa madc licha ya kushinda humu kujaza server kwa mabandiko yako yasiyokuwa na maudhui ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…