Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

Swali liko pale pale. Je unatibiwa bure katika hospitali za serikali? Au nako hulipi kwa sababu zinajengwa na zinaendeshwa kutokana na kodi yako na misaada kutoka kwa mabeberu?

Amandla...

Nilikuambia mapema kwamba tunaongelea hizi pesa wanazopewa kanisa na serikali ni za kazi gani wakati hospitali za kanisa tunalipa tokea uandikishwaji mpaka matibabu ?? Hizi hospitali hata hazilipi kodi serikalini

Mapato ya pesa zetu hupelekwa wapi ??

Tanzania zipo hospital zinazojiendesha bila kupata chochote kutoka Serikalini na ni za taasisi mbali mbali kama ilivyo The Aga Khan Hospital, Ibrahim Hadji Hospital, Regency Hospital n.k. Zipo nyingi tu.

S
 
Swali liko pale pale. Je unatibiwa bure katika hospitali za serikali? Au nako hulipi kwa sababu zinajengwa na zinaendeshwa kutokana na kodi yako na misaada kutoka kwa mabeberu?

Amandla...



 
Kwenye Mou kama sikosei waislam walishirikishwa ila wao hawkupenda kushiriki
 
Inaelekea hujui chochote kuhusu Kodi. Kawaulize Tra
 
Wandugu msitaabike, hawa jamaa ukikuta njiani na nafasi ipo we chinja tu
Hawa ni washenzi tena dhulma kupindukia
 
Halafu acheni dhana potofu kuwa Serikali inasadia uendeshaji wa hospitali za Kanisa,hizi hospitali zilikuwepo muda mrefu kabla ya 1992.Kilichotokea ni kwamba Serikali iliwapeleka watumishi wake kule kwa hiyo inawalipa mishahara yenyewe.
Hawa watu inaonyesha elimu Yao kichwani ndogo ndo maana wanaishia kujilipua
 
bila kanisa wewe pusi ungekuwa boko haram au al shabab hata jf usingeijua. pua kama nguruwe wewe.
 
Huyu nimnafiki namchochezi kama FaizaFoxy ukristo umeanza kumiliki hospital muda mrefu
Kuhusu mikakati namipango yakiutawala ukristo ni taasisi kubwa sana nilazima iwe naushirkiano mzuri na utawala hivi wakati huo ukikumbuka ulikua muhula wapili wa jakaya kama jakaya aliupendelea ukristo basi ujue kuna jema aliloliona nasio upupu wenu watu hamna mipango mnawaza BAKWATA iwe sijui chama chakigaidi yaani hamueleweki
 
Wala hatukatai hilo wala hajalisema hilo, usitake kusema uongo.


Mimi nnachokisema hatutaki tena kodi zetu ziende taasisi yoyote ya kidini na pia tunataka misamaha ya kodi yote kwa taasisi za kidini ifutwe.
 
Wala hatukatai hilo wala hajalisema hilo, usitake kusema uongo.


Mimi nnachokisema hatutaki tena kodi zetu ziende taasisi yoyote ya kidini na pia tunataka misamaha ya kodi yote kwa taasisi za kidini ifutwe.
hapa sijui unatetea lipi yaani hujasikia akisema selikali hutoa pesa za lujenga miradi yakikristo mfano kaitolea bugando
 
hapa sijui unatetea lipi yaani hujasikia akisema selikali hutoa pesa za lujenga miradi yakikristo mfano kaitolea bugando
Ndiyo hilo mbalo tunasema hatutaki pesa zetu ziende taasisi yoyote ya kidini. Wajijenngee wenyewe. Hivi kanisa katoliki na utajiri wote walionao duniani kihospitali kama cha bugando mpaka wapewe pesa na nchi masikini kama Tanzania?

Unaujuwa utajiri wa Vatikano au huujuwi?
 
Dah hurlurain wenikiboko yaani utajili wa vatcan utumike kutoa huduma Tz hivi roman catholic Tz inahudumia vatican au Tz kwanza hawa watu pamoja na BAKWATA wanatakiwa wapewe heshima xakipekee sana wameihubiri amani kila kona yanchi wamevumiliana sana japo mpo mnao hitaji machafuko wao wamekua wakiyasov
 
Sasa kwanini umasikini wa Tanzania uhudumie ytaasisi ya Vatikano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…