Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

Sasa kwanini umasikini wa Tanzania uhudumie ytaasisi ya Vatikano?
Ewe hurlurain hivi nivitu vyakupita kama haujaona umuhimu wao basi sawa ila kama wana umuhimu waendelee kupewa ila wapewe miongozo ya bei za huduma baasi itatosha
 
Sikiliza bila jaziba utaelewa
 
Acha kupindiisha maneno
Mkataba wa ovyooo
 
Umelinganisha gharama za kutibiwa Aga Khan, Regency na za kutibiwa KCMC au Bugando? Haujiulizi kwa nini unaweza kupata referal kutoka hospitali za serikali kwenda Bugando au KCMC lakini hauwezi kupata referal kwenda Aga Khan, Ibrahim Haji, Regency, Hindu Mandal n.k.? Kama unakubali kulipa Muhimbili kwa nini unakazania utibiwe bure Bugando kwa sababu tu ni ya wamisheni?

Amandla...
 
Tatizo nyie wavaa kobazi hamnaga akili. Mnakalia kutaja mnyaazii Mungu tuu. Nyie ni mazuzu sana.

Mkataba wa Dp world mnauchanganyaje na Udini?

Kwahiyo mnadhani hao waarabu ni ndugu zenu?
 
Hata wawe mashhaaa jee hospitali zao wanapata msaada wa serikali ??
Umewahi kutibiwa katika hospitali za huyo Shia? Unataka Bugando nao watoze bei za Aga Khan na Regency? Unadhani waislamu wenzako wa Kisiju wataziweza?

Amandla...
 
Kanisa linajimegea maeneo ndani ya nchi halafu linaitunishia serikali isisogelee.
Mbona mawenzi hospital siyo mbali na kcmc kinachowanyima kufanya mawenzi au mountmeru kuwa rufaa maasikofu wapo kwa ajili ya jamii yote iwezekuwa na afya njema wanabuni na kuumiza kichwa serikali inamwezesha aliyedhubutu mashehe wanapenda upendeleo wa Bure hayo mahospital wanajenga waumini hata hostel za vyuo tunachangishwa hamna lelemama
 
Kwani Kodi ya bidhaa anatoza bandari au TRA? Na msamaha utolewa na serikali siyo bandari hata waislamu hupitisha kwa msamaha pia dini zote
 
Umewahi kutibiwa katika hospitali za huyo Shia? Unataka Bugando nao watoze bei za Aga Khan na Regency? Unadhani waislamu wenzako wa Kisiju wataziweza?

Amandla...

Sasa jibu swali
Hizo Za mashia zinapewa pesa na serikali ?

Hizo Za kanisa uliwahi wewe kwenda ? Bei zake ni mara tatu ya hizo Za mashia na serikali inawapa pesa
 

Wewe umelinganisha hizo zinazolipiwa kila kitu na serikali na hizi Za serikali ??
 
Mtaalamu wa kulipua makalio ni Alie mnyonya ali hassan ulimi akiwa uchi msikitini.
Yule aliyekamatwa vichakani Gesthemane akiwa na kijana aliyeweka chupi begani akakimbia uchi yeye ni professor?
 
Takataka
 
Yule aliyekamatwa vichakani Gesthemane akiwa na kijana aliyeweka chupi begani akakimbia uchi yeye ni professor?
Nasema endeleeni na tabia za kafiri Mohamed za kunyonyana ulimi wanaume kwa wanaume
 
Na baba yupo kimya watoto wanaparuana..anachekaaa kisa anamkomoa mkewe kibri
 
Kumbe huyu ndio mwalimu wako? Basi sina la kujadiliana na wewe.
Amandla...
Usikimbie.Umemsikia huyo sheikh ?.Kati ya vipengele 10 vya kanisa vitatu ni hivi :
1.Raisi wa nchi (Tanzania) kila akisafiri nje aende na makopo matatu.mawili ya serikali na 1a kanisa.
2.Kila wizara itenge bajeti kwa manufaa ya kanisa
3.Kanisa katika nafasi za masomo basi lazima litengewe nafasi zaidi 30% kwa vijana wake.
Hayo ni makubaliano ya aibu kwa kanisa.Hivyo haja ya kuvunjwa mkataba wa MOU ni kwa maslahi ya kitaifa na kuliondoshea kanisa aibu.Ubaya wa aibu hii ndio maana kanisa linakosa waumini kila eneo duniani,Watu werervu wanashindwa kufuatana na kanisa.Ama wanaamua waingie uislamu au wawe mashabiki wa Manchester.
Ninalojiuliza ni hizo sifa mnazojipa za kuwa na elimu kuliko waislamu na hospitali zenye matibabu bora ni za nini.Kumbe ni matokeo kupora haki za wengine na kuombaomba nje chini ya kivuli cha serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…