Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

Nasema endeleeni na tabia za kafiri Mohamed za kunyonyana ulimi wanaume kwa wanaume
Nasema endeleeni na tabia Za yule alomtia mimba mama yake na muwatie mimba mama zenu😜😜😜
 

Kama unaamini kuwa kuna makubaliano kati ya Kanisa na serikali kuwa asilimia 30 za nafasi za elimu zitengwe kwa ajili ya wakristu sina la kujadiliana na wewe.

Kama unaamini katika bajeti ya kila wizara inayopitishwa na bunge kuna kifungu cha kanisa sina cha kuzungumza nawe mpaka unitajie hicho kifungu kinakuwa katika vote ipi.

Kama unaamini Rais Samia anabeba kopo (?) la kanisa kila anapoenda Dubai au New York basi sina la kujadiliana na wewe.
Kanisa linakosa waumini sehemu gani duniani?

Hilo la nani amesoma zaidi kati ya wakristu na waislamu ni mabishano ya vijiweni kati ya watu ambao hawana cha kujisifia wenyewe. Wewe unatakiwa ujisifie maendeleo katika familia yako. Kama unaona jamii yako inalegalega fanya juhudi za
kuikwamua badala ya kutafuta wachawi kwa madhaifu na mapungufu yako.

Kama unaamini hizo shule na hospitali za kanisa zinafadhiliwa na serikali, badala ya kuzionea wivu iambieni serikali ya sasa inayoongozwa na muislamu ifadhili pia shule na hospitali zenu badala ya kuzionea choyo za misheni.

Kwa taarifa yako hospitali zote za wamisheni zimejengwa kutokana na michango na misaada ya wakristu walio ndani na nje ya nchi hii. Huduma hizo zinatolewa bila ubaguzi wowote. Wakati huo viongozi wenu wakiomba msaada, wanaomba kujengewa misikiti na kuletewa tende wakati wa sikukuu zenu. Kwa nini na nyie msijikite kama jamii katika ujenzi wa hospitali na shule? Jifunzeni kwa Aga Khan, mshia ambae badala ya misikiti amejikita katika kutoa elimu na huduma za afya. Huyo hamumuoni bali mnabaki kuwatolea macho watu ambao wanawasaidia ndugu zenu.

Kwaheri maana sioni faida ya kuendelea kujadiliana na mtu kama wewe.

Amandla...
 
Sasa jibu swali
Hizo Za mashia zinapewa pesa na serikali ?

Hizo Za kanisa uliwahi wewe kwenda ? Bei zake ni mara tatu ya hizo Za mashia na serikali inawapa pesa
Ni dhahiri haujawahi kwenda Aga Khan Hospital na hivyo haujui gharama zake. Unaleta tu ubishi wa kijinga usiokuwa na logic. Eti Bugando fee zao ni mara tatu ya za Aga Khan!
Kwaheri. Unanipotezea muda.

Amandla...
 
Ni dhahiri haujawahi kwenda Aga Khan Hospital na hivyo haujui gharama zake. Unaleta tu ubishi wa kijinga usiokuwa na logic. Eti Bugando fee zao ni mara tatu ya za Aga Khan!
Kwaheri. Unanipotezea muda.

Amandla...
Unataka kukimbia lakini ukweli ndio huo
 
Hakuweza kutetea kwa ufanisi.Ameona mwenyewe madudu ya MOU.Hayajibiki
Hata uwezo wa kujenga hoja hauna, huo uwezo wa kujibu hoja za wengine utautoa wapi?

Unachojua wewe ni copy ujinga wa mwenzako, kisha ulete hapa, ndio maana hata kuutetea huwezi.
Unataka kukimbia lakini ukweli ndio huo
Kumkimbia mjinga inabidi ili kuepuka kupotezewa muda.
 
Hata uwezo wa kujenga hoja hauna, huo uwezo wa kujibu hoja za wengine utautoa wapi?

Unachojua wewe ni copy ujinga wa mwenzako, kisha ulete hapa, ndio maana hata kuutetea huwezi.Kumkimbia mjinga inabidi ili kuepuka kupotezewa muda.
Jesus Said never call anyone fool... You will never be forgiven
 
Correctly na lengo la serikali ilikuwa ni kuzifany hiz hospital ziendeshwe ka za uma na sio kibiashara. Ili kuweka uzani saw Ila mtu na udini analinganisha na mkataba wa hovyo wa bandari. Naikumbukwe umesainiwa top wa inch ni waislamu
 
 
Exactly
 
Kwanini waislam nao wasifungue hospitali kubwa kisha waingie mikataba ya uendeshaji na serikali ili wapate fedha nyingi. Kuna hospitali gani kubwa iliyojengwa au inayoendeshwa na waislam Tanzania hii?

Waislam mpo almost 50% ya population ya Tanzania lakini taasisi zenu hazifanyi uwekezaji wa huduma za kijamii zenye kueleweka kama shule na hospital zenye viwango vya kimataifa. Nchi nzima mnamiliki chuo kikuu kimoja tu ambacho hata vijana wengi wa kiislam hawataki kwenda kusoma.

Wakristo wanazidi kufungua vyuo vikuu,hospitali na shule nyie mnawekeza kwenye kujenga misikiti tu😓. Injili inasambazwa pia kwa kutoa huduma kijamii na sio kwa kulia kuwa mnaonewa kila siku.
 
Hata uwezo wa kujenga hoja hauna, huo uwezo wa kujibu hoja za wengine utautoa wapi?

Unachojua wewe ni copy ujinga wa mwenzako, kisha ulete hapa, ndio maana hata kuutetea huwezi.Kumkimbia mjinga inabidi ili kuepuka kupotezewa muda.
Hoja zimejengwa nyingi isipokuwa mtu akiwa ameamua kutetea jambo ovu huwezi kumbadilisha. Sijaona ujinga ulio mkubwa kuliko kutetea MOU na kanisa jambo linalolidhalilisha kanisa pakubwa. Kanisa limepata sura kama ya ujambazi na ombaomba kwenye mkataba huu.Sasa wewe umeona hapo hakuna hoja?. Mwenzake Fundi Mchundo huenda ameona kuna kitu hapo hawezi kuendelea kupekua ili apate cha kutetea.
 
Serikali haina kisima cha pesa na wewe kila siku unasikia inataka pesa kuendeleza miradi iliyoanzisha ambayo wakati mwengine inadorora kwa sababu hiyo.Dawa sio utushauri sisi tuombe kama mlivyoomba nyinyi.Sisi tukipokea misaada msilete maneno tu.
Dawa ya huo mkataba iliyo bora ni kuuvunja na serikali ibaki na pesa zetu ipeleke inapoona bora sio kuibebesha mzigo tena kwa ukaidi wenu.
 
Wewe serikali ndiyo iliyoomba hapa! Serikali haiwezi kupumua bila hizi taasisi.
Angalia kwa umakini! Je hata fedha za makubaliano wanalipa?
Haya makubaliano yavunjwe kama hamkurudi kwenye ujima kesho!
 
Serikali ina pesa nyingi tu ndiyo maana inanunua V8 nyingi kila mwaka,ishu ni vipaumbele tu. Kwani kwenye hospital za wakristo huwa hawatibu wagonjwa wa kiislam?

Ninatamani kuona hospital nyingi kubwa zikijengwa na taasisi za kiislam,vyuo vikuu vingi zaidi . Toka Muslim university ya morogoro imefunguliwa hakionyeshi dalili ya kustawi,kwanini?

Sioni hata vijana wakikimbilia kufanya applications kama chaguo lao la pili au la tatu,!! Imarisheni taasisi zenu za huduma za kijamii na serikali itawaona na kuleta fedha.

I
 
Na nyie acheni kupeleka watoto madrasa pelekeni shule wasome wawe na uwezo wa kujenga mashule na hosptili mfaidike na nyie
Acha kutetea ujinga na kuharalisha ujinga kwa kutumia ujinga

Kwakua serikal iliingia mkataba wa kijinga na makanisa kwaiyo unasapoti serkla kuingia mkataba wa hovyo na waarabu kisa ni waislamu wenzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…