Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Huu uzi ndio wenye lengo la kumchafua Mama ametekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria na Wapinzani wepata haki yao HAKI na WAJIBU ndio misingi tulioishi tangu na tangu. Usimchafue mama pia muache mzee apumzike.
 
Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Magufuli' ni nani nchi hii hadi umfungulie uzi?! Do t take your personal passions to someone as public one. Tumia akili.
 
Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Mikutano ya Chadema inakuaje iwe mbinu ya Ccm? ili iweje ?
 
Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Yeye si aliizuia mikutano hiyo ili kuficha uhuni uliokuwa unafanywa awamu yake?!!sasa acha yawekwe wazi!!
 
Back
Top Bottom