Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Muulize Ben saanane, Azory gwanda, coco beach sandarusi za maiti , MKIRU utapata jibu kuwa hamna dhihaka bali tunakusanya historia.
 
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.

Ninaomba michango yenu.
Dhihaka haikubaliki!! Lakini msichukie watu kuelezea madhira waliyopitia, upinzani hasa CDM wamepitia maumiv makali san awamu ya tano. Kwa kibinadan huez kaa kimya kusema ulivyoumizwa labda yawe hayajakukuta!!!
 
Anaetaka kushinda uchaguzi jukwaani atalazimika kunsifia jpm tofauti na hapo hawatoboi.
Hata mama ili atobowe anatakiwa kumimina sifa kwa jpm ndo watu watamfikiria hata kidogo.

Jina la jpm ni kubwa kuliko wengi walio hai.
 
Hali sio shwari mitaani maisha magumu
Kwa Magufuli yalikuwa rahisi? Siyo yeye aliyweka ndani watu waliomwambia vyuma vimekaza? Mbona mnajitoa ufahamu kirahisi hivi? Yaani kwenu Magufuli hakuwa na mapungufu kiasi kwamba haitakiwi kumsema Kwa lolote? Waacheni wanaomkosoa kama nyie mnaomsifia mlivyoachwa huru kusifu.
 
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.

Ninaomba michango yenu.
Dhalimu lazima anyooshwe ,ukitaka itisha Mkutano ukamtetee..

Yule alikuwa muuaji,Mbowe akiwa Sumbawanga amemtaja kama mwendawazimu.
 
Miaka 6 huyo Magufuli alizuia mikutano kwa wengine huku yeye akawa anaifanya kila atakapo.

Na akifanya mikutano anatupa madongo na hawapi wenzie nafasi ya kujibu ukijibu iwe mtandaoni au wapi kikosi tiifu kilikuwa na kazi ya kupoteza wakosoaji wake.

Hapa hakuna anayemdhihaki bali wanazungumzia yale aliyokuwa akiyaishi.
 
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.

Ninaomba michango yenu.
Ilitakiwa kutumika kuongelea tozo zisizoeleweka, rushwa, ngorongoro kuuzwa, hali ya umeme, maji, kuongeze kwa ajali barabarani, mfumuko wa bei , teuzi za hovyo hovyo nk.

Vitu ambavyo vinaathiri maisha ya Watanzania wengi leo moja kwa moja. Ash wapi wapinzani na wengi CCM hawajali hizi issue. Sio muhimu kwako. Muhimu kusifia, uchawa na kulamba asali
 
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.

Ninaomba michango yenu.
Nakukosoa mana huelewi wewe hatuna serikali ya awamu ya6 bali serikali ya awamu ya5 kipindi cha pili.Unaposema awamu ya sita uchaguzi wa awamu ya6 umefanyika lini?
 
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.

Ninaomba michango yenu.

Ya CCM, Lipumba wala Zitto hujaifuatilia ndugu?
 
Vizuri mno na bado wanaendelea kuupokea yaani shauku yao haiishi ndiyo maana unaendelea kumwagwa hadharani, this is a piece of an iceberg.
Unaweza kueleza kitu gani ni ishara ya wananchi kuupokea vizuri huo ukweli? Huwa wanabeba mabango labda na kuandika huo ukweli au huwa wanashangilia unapoelezewa huo ukweli au wanafanyaje hasa?
 
Akizushiwa mambo ya uongo ambayo hakuyafanya fungua kesi mahakamani, hakuna anayemchafua mbweha yoyote bali ukweli ndiyo unaosemwa. Jiwe kila aliyeteseka na udhalimu wa utawala wake lazima atayaongelea mateso aliyopitia na ukweli ni kwamba Muhutu yule katesa, kapora, kateka, kaua na kadhulumu wengi sana.
Haya hebu nithibitishie ukweli wa Magufuli kufa kwa corona?
 
Dhihaka haikubaliki!! Lakini msichukie watu kuelezea madhira waliyopitia, upinzani hasa CDM wamepitia maumiv makali san awamu ya tano. Kwa kibinadan huez kaa kimya kusema ulivyoumizwa labda yawe hayajakukuta!!!
Mbona Mo alitekwa kipindi cha Magufuli ila sasa yupo kimya anaendelea na maisha yake au yeye si binaadamu?

Mimi nilidhani hayo maridhiano yanatufanya tusonge mbele na kusahau yaliyopita.
 
Mbona Mo alitekwa kipindi cha Magufuli ila sasa yupo kimya anaendelea na maisha yake au yeye si binaadamu?

Mimi nilidhani hayo maridhiano yanatufanya tusonge mbele na kusahau yaliyopita.
Yule ni mfanya biashara analinda maslahi ya biashara yake! Tumia akili utaelewa kwann alikaa kimya!!
 
Wana un install software ya bwana yule na ku install software ya 'bibi yule'. Ili computer iweze kufanya kazi vizuri ni lazima ku update software...
Hii ni kandarasi nono. They cant aford to lose it... Wana watoto 'wanafaa' kwenda chooni bro...
 
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.

Ninaomba michango yenu.
Sukuma Gang mnaugua magonjwa mengi sana,sonona, bawasiri,msongo wa mawazo,kichefuchefu, mtakufa kabla ya siku zenu mumfuate mungu wenu
 
Back
Top Bottom