Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

Anaetaka kushinda uchaguzi jukwaani atalazimika kunsifia jpm tofauti na hapo hawatoboi.
Hata mama ili atobowe anatakiwa kumimina sifa kwa jpm ndo watu watamfikiria hata kidogo.

Jina la jpm ni kubwa kuliko wengi walio hai.
Huo utopllo wa wanaoamini wafu
 
Yule ni mfanya biashara analinda maslahi ya biashara yake! Tumia akili utaelewa kwann alikaa kimya!!
Point ni kwamba kumbe inawezekana ukanyamaza ukamuachia Mungu na kuendelea na maisha yako na hakuna kitakachokuathiri kwa kutokuongea.
 
Kuna ubaya watu kusema ubaya waliofanyiwa?
Wengi wanaoongea humu sio wahanga wa hayo mabaya na kibaya zaidi wanachokifanya sio kueleza hayo mabaya bali ni kumueleza kwa ubaya huyo marehemu, ukitizama vizuri unaona kabisa hilo ni watu wenye kitu kwa huyo marehemu ambacho ni zaidi ya kueleza hayo mabaya. Kuna muda wakati wao wanaeleza hayo mabaya wanapitiliza hadi nao wanatenda mabaya wanaeleza hata yale ambayo hawana ushahidi nayo wanamtwisha tu huyo marehemu na kufikia hadi kumtukana, binafsi sioni kama wanachofanya kinajenga.
 
All in all Nchi yetu ilipitia awamu ngumu san na mbaya sababu... Kwanza kubaguliwa kwasababu za kiitikadi, kuumizwa au kuteswa kwasababu unaongea ukwel, kutengenezwa kwa kundi flan la kutesa, kuua, kuwekwa magereza kwa kesi za kubumba na kibaya zaid unapewa uhujumu uchumi for nothing!!! Hayo yote kama unaishi bongo unayajua na yapo wazi bila ubishi. Mamb ambayo hayakuepo nchini kubaguana kivyama!! Acha watu waseme ila wasivunje sheria za Nchi!
 
Sasa hali iliyo wazi ni kwamba hao watu hawaelezi hayo mabaya bali wanamuelezea Magufuli kwa ubaya hiyo ndio shabaha yao, inafika muda mtu anafikia kusema kwamba kama mnampenda huyo mwendazake nendeni mkazikwe naye. Sasa hayo maneno yenye kueleza mabaya tulipitia bali ni maneno ya mtu ambaye alipandwa na hasira akashindwa kujizuia, yani wakati yeye anaelezea hayo mabaya kuna wengine wanaelezea kwa upande mwengine usio wa mabaya hali iliyomfanya Zitto apandwe na hasira na kujikuta anaropoka hivyo.

Ukiangalia anaelezwa huyo marehemu kwa hayo mabaya sio ili wengine wajifunze ila anaelezwa ili ifahamike tu hakuwa mtu mzuri hana jema na alaanike basi.
 
Back
Top Bottom