peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ndio waliofunga ndoa na ccmTanzania kuna vyama 19, wewe kwa nini unafuatilia mikutano ya CHADEMA tu na sio ya UDP, TLP, NCCR n.k??
MsogaShujaa Magufuli hakuna wa kumchafua!
Huu uzi ndio wenye lengo la kumchafua Mama ametekeleza wajibu wake kwa mujibu wa sheria na Wapinzani wepata haki yao HAKI na WAJIBU ndio misingi tulioishi tangu na tangu. Usimchafue mama pia muache mzee apumzike.Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Ndio waliofunga ndoa na ccm
Sera zimemwagwa za kutosha, ila ww ndio umejikita kufuatilia ukweli dhidi ya Magufuli ulipowekwa wazi.Wapo busy kugombana na hayati badala ya kueleza sera zao.
Wewe ndiye ulikuwa mshenga ?Ndio waliofunga ndoa na ccm
Magufuli' ni nani nchi hii hadi umfungulie uzi?! Do t take your personal passions to someone as public one. Tumia akili.Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Mikutano ya Chadema inakuaje iwe mbinu ya Ccm? ili iweje ?Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Sera zimemwagwa za kutosha, ila ww ndio umejikita kufuatilia ukweli dhidi ya Magufuli ulipowekwa wazi.
Magufuli' ni nani nchi hii hadi umfungulie uzi?! Do t take your personal passions to someone as public one. Tumia akili.
Kwa hiyo?! Nchi hii yeye ni wa kwanza kuwa Rais? What's so special?Alikuwa Raisi wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania wee mbulula
Yeye si aliizuia mikutano hiyo ili kuficha uhuni uliokuwa unafanywa awamu yake?!!sasa acha yawekwe wazi!!Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Kwa hiyo?! Nchi hii yeye ni wa kwanza kuwa Rais? What's so special?