Muulize Ben saanane, Azory gwanda, coco beach sandarusi za maiti , MKIRU utapata jibu kuwa hamna dhihaka bali tunakusanya historia.Nimefuatilia mikutano ya chadema kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini
Ninaomba michango yenu
Kifo kimemalizia kumchafua tayariShujaa Magufuli hakuna wa kumchafua!
Dhihaka haikubaliki!! Lakini msichukie watu kuelezea madhira waliyopitia, upinzani hasa CDM wamepitia maumiv makali san awamu ya tano. Kwa kibinadan huez kaa kimya kusema ulivyoumizwa labda yawe hayajakukuta!!!Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.
Ninaomba michango yenu.
Kwa Magufuli yalikuwa rahisi? Siyo yeye aliyweka ndani watu waliomwambia vyuma vimekaza? Mbona mnajitoa ufahamu kirahisi hivi? Yaani kwenu Magufuli hakuwa na mapungufu kiasi kwamba haitakiwi kumsema Kwa lolote? Waacheni wanaomkosoa kama nyie mnaomsifia mlivyoachwa huru kusifu.Hali sio shwari mitaani maisha magumu
Dhalimu lazima anyooshwe ,ukitaka itisha Mkutano ukamtetee..Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.
Ninaomba michango yenu.
Kuna jamaa anasema oil chafu huwezi kuichafuaShujaa Magufuli hakuna wa kumchafua!
Ilitakiwa kutumika kuongelea tozo zisizoeleweka, rushwa, ngorongoro kuuzwa, hali ya umeme, maji, kuongeze kwa ajali barabarani, mfumuko wa bei , teuzi za hovyo hovyo nk.Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.
Ninaomba michango yenu.
Nakukosoa mana huelewi wewe hatuna serikali ya awamu ya6 bali serikali ya awamu ya5 kipindi cha pili.Unaposema awamu ya sita uchaguzi wa awamu ya6 umefanyika lini?Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.
Ninaomba michango yenu.
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.
Ninaomba michango yenu.
Unaweza kueleza kitu gani ni ishara ya wananchi kuupokea vizuri huo ukweli? Huwa wanabeba mabango labda na kuandika huo ukweli au huwa wanashangilia unapoelezewa huo ukweli au wanafanyaje hasa?Vizuri mno na bado wanaendelea kuupokea yaani shauku yao haiishi ndiyo maana unaendelea kumwagwa hadharani, this is a piece of an iceberg.
Haya hebu nithibitishie ukweli wa Magufuli kufa kwa corona?Akizushiwa mambo ya uongo ambayo hakuyafanya fungua kesi mahakamani, hakuna anayemchafua mbweha yoyote bali ukweli ndiyo unaosemwa. Jiwe kila aliyeteseka na udhalimu wa utawala wake lazima atayaongelea mateso aliyopitia na ukweli ni kwamba Muhutu yule katesa, kapora, kateka, kaua na kadhulumu wengi sana.
Mbona Mo alitekwa kipindi cha Magufuli ila sasa yupo kimya anaendelea na maisha yake au yeye si binaadamu?Dhihaka haikubaliki!! Lakini msichukie watu kuelezea madhira waliyopitia, upinzani hasa CDM wamepitia maumiv makali san awamu ya tano. Kwa kibinadan huez kaa kimya kusema ulivyoumizwa labda yawe hayajakukuta!!!
Yule ni mfanya biashara analinda maslahi ya biashara yake! Tumia akili utaelewa kwann alikaa kimya!!Mbona Mo alitekwa kipindi cha Magufuli ila sasa yupo kimya anaendelea na maisha yake au yeye si binaadamu?
Mimi nilidhani hayo maridhiano yanatufanya tusonge mbele na kusahau yaliyopita.
Afu tukishakupa hiyo michango itakusaidia nini?Ninaomba michango yenu.
Sukuma Gang mnaugua magonjwa mengi sana,sonona, bawasiri,msongo wa mawazo,kichefuchefu, mtakufa kabla ya siku zenu mumfuate mungu wenuNimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini.
Ninaomba michango yenu.