saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Huo utopllo wa wanaoamini wafuAnaetaka kushinda uchaguzi jukwaani atalazimika kunsifia jpm tofauti na hapo hawatoboi.
Hata mama ili atobowe anatakiwa kumimina sifa kwa jpm ndo watu watamfikiria hata kidogo.
Jina la jpm ni kubwa kuliko wengi walio hai.
Point ni kwamba kumbe inawezekana ukanyamaza ukamuachia Mungu na kuendelea na maisha yako na hakuna kitakachokuathiri kwa kutokuongea.Yule ni mfanya biashara analinda maslahi ya biashara yake! Tumia akili utaelewa kwann alikaa kimya!!
Ngoja basi WAKUFUNGULIE WW mheshimiwa wa kimbijiMagufuli' ni nani nchi hii hadi umfungulie uzi?! Do t take your personal passions to someone as public one. Tumia akili.
Kuna ubaya watu kusema ubaya waliofanyiwa?Point ni kwamba kumbe inawezekana ukanyamaza ukamuachia Mungu na kuendelea na maisha yako na hakuna kitakachokuathiri kwa kutokuongea.
Wengi wanaoongea humu sio wahanga wa hayo mabaya na kibaya zaidi wanachokifanya sio kueleza hayo mabaya bali ni kumueleza kwa ubaya huyo marehemu, ukitizama vizuri unaona kabisa hilo ni watu wenye kitu kwa huyo marehemu ambacho ni zaidi ya kueleza hayo mabaya. Kuna muda wakati wao wanaeleza hayo mabaya wanapitiliza hadi nao wanatenda mabaya wanaeleza hata yale ambayo hawana ushahidi nayo wanamtwisha tu huyo marehemu na kufikia hadi kumtukana, binafsi sioni kama wanachofanya kinajenga.Kuna ubaya watu kusema ubaya waliofanyiwa?
All in all Nchi yetu ilipitia awamu ngumu san na mbaya sababu... Kwanza kubaguliwa kwasababu za kiitikadi, kuumizwa au kuteswa kwasababu unaongea ukwel, kutengenezwa kwa kundi flan la kutesa, kuua, kuwekwa magereza kwa kesi za kubumba na kibaya zaid unapewa uhujumu uchumi for nothing!!! Hayo yote kama unaishi bongo unayajua na yapo wazi bila ubishi. Mamb ambayo hayakuepo nchini kubaguana kivyama!! Acha watu waseme ila wasivunje sheria za Nchi!Wengi wanaoongea humu sio wahanga wa hayo mabaya na kibaya zaidi wanachokifanya sio kueleza hayo mabaya bali ni kumueleza kwa ubaya huyo marehemu, ukitizama vizuri unaona kabisa hilo ni watu wenye kitu kwa huyo marehemu ambacho ni zaidi ya kueleza hayo mabaya. Kuna muda wakati wao wanaeleza hayo mabaya wanapitiliza hadi nao wanatenda mabaya wanaeleza hata yale ambayo hawana ushahidi nayo wanamtwisha tu huyo marehemu na kufikia hadi kumtukana, binafsi sioni kama wanachofanya kinajenga.
Sasa hali iliyo wazi ni kwamba hao watu hawaelezi hayo mabaya bali wanamuelezea Magufuli kwa ubaya hiyo ndio shabaha yao, inafika muda mtu anafikia kusema kwamba kama mnampenda huyo mwendazake nendeni mkazikwe naye. Sasa hayo maneno yenye kueleza mabaya tulipitia bali ni maneno ya mtu ambaye alipandwa na hasira akashindwa kujizuia, yani wakati yeye anaelezea hayo mabaya kuna wengine wanaelezea kwa upande mwengine usio wa mabaya hali iliyomfanya Zitto apandwe na hasira na kujikuta anaropoka hivyo.All in all Nchi yetu ilipitia awamu ngumu san na mbaya sababu... Kwanza kubaguliwa kwasababu za kiitikadi, kuumizwa au kuteswa kwasababu unaongea ukwel, kutengenezwa kwa kundi flan la kutesa, kuua, kuwekwa magereza kwa kesi za kubumba na kibaya zaid unapewa uhujumu uchumi for nothing!!! Hayo yote kama unaishi bongo unayajua na yapo wazi bila ubishi. Mamb ambayo hayakuepo nchini kubaguana kivyama!! Acha watu waseme ila wasivunje sheria za Nchi!
jiwe=killerShujaa Magufuli hakuna wa kumchafua!