Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi
miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko
mwanzoni mwanzoni tu.
Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa aliyenusurika kuuliwa na mke wake kwa sumu waliposhindwa wakajaribu na uchawi,ndipo nikagundua kuwa kumbe....
Siri ya nchi za kiafrika kuwa na singlemama wengi ni mauaji ya waume wao na mara
zote wanaouliwaga ni wale wanaojiweza kiuchumi ukiwa kapuku utaishi mpaka umwembe
mola wako akuondoshe duniani.
Ama kwa hakika ukiwa na hela huku kwetu halafu
ukaoa binti toka koo masikini jua huo ni msiba wa kujitakia,ni sawa na kumchokoza
simba mwenye njaa,ukinusurika kifo utalishwa na kuogeshwa madawa wewe mbaka uwe ka
ndondocha vile,utageuzwa ATM utasomesha familia yao hadi wajiweze,wakisha simama
sasa siku ukipata majanga hakuna hata atakayekujali washapata walichokitaka toka kwako
hapo ndo.
Ushukuru mungu umepata familia isiopenda kuua, binafsi hili nililishuhudia toka
kwa ndugu yangu kabisa alioa binti wa kinguu kwao wachawi balaa,unaambiwa jamaa pale
kwake hakanyagi ndugu yetu aipiti wiki anatimuliwa lkn ndugu zake yule mwanamke kawasomesha
kawataftia kazi sasa wamesepa hao hata hawamjali.
Huku kwetu ndoa ni hatari saana especially ukiwa na vijisenti japo kidogo.