Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
Makonda kuwakamata waliotelekeza watoto Jumatatu
Ni kampeni yake ya kuwasaidia kinamama waliotelekezwa na watoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,aisee,si ushaambiwa singlemother maanake kuna possibility kubwa sana kashachinja au kadhulumu mtu mali yake huyo hilo ni janga la kujitakiaHata akiwa single mother?
Wanaume wenyewe wa kiafrika wengi wanaoa wanawake wadogo zaidi yao, halafu watu wanategemeaje wanawake ndio waanze kufariki?hua ni hadithi za kijingajinga tu ukiweka statistics A walio kufa kwa kuuliwa na wake zao ni hakuna
usitetee hoja yako hao waliokimbia na kutelekeza watoto![]()
Makonda kuwakamata waliotelekeza watoto Jumatatu
Ni kampeni yake ya kuwasaidia kinamama waliotelekezwa na watoto.www.google.com
Sio kweli wengi wao wanaoondoka hata huo uzee hawauonjiWanaume wenyewe wa kiafrika wengi wanaoa wanawake wadogo zaidi yao, halafu watu wanategemeaje wanawake ndio waanze kufariki?
Salute bro nakubaliana na wewe 100% umri mfupi wa wanaume wa kiafrika90% ya vifo vya wanaume Africa ni mpango wa Mwanamke/Mke.
90% ya vifo vya Wanawake Africa ni Kwa mapenzi ya Mungu.
Mkuu Mleta mada uko sahihi, na pia kuna mikoa/sehemu zingine Mwanaume anaweza asiuwawe analishwa madawa Ile ari ya kutafuta Mali inayeyuka Ili tu Mwanamke apate kuitwa mke wa Fulani
Kimsingi hili bara halijakosa magiant kama kina Einstein, Elon Musk, kina Hawking, Jobs isipokuwa ni mambo meusi ndio yanachangia.
Ukishalishwa hayo mauchawi Yao huwezi kuwa mbunifu tena...
Na unajua ni kwakuwa Wanaume tumeacha kuzisaka nguvu za kiroho, unakuta unaoa Mwanamke ni Mchawi kama sio mchawi bas ana access na waganga waovu wanaoweza kumsaidia Nia zake...
"Wengi wao" ni wangapi? Umefanya utafiti gani? Umetumia sample space gani? Una margin of error gani? Una bias gani? Umezi address vipi bias zako? Umefanya peer review vipi? Umechapisha wapi?Sio kweli wengi wao wanaoondoka hata huo uzee hawauonji
wacha kujidanganya na ielimu vyako ya kizungu mwenye macho"Wengi wao" ni wangapi? Umefanya utafiti gani? Umetumia sample space gani? Una margin of error gani? Una bias gani? Umezi address vipi bias zako? Umefanya peer review vipi? Umechapisha wapi?
Wazungu gani hao mkuu? Tazama IDx utaelewa wazungu wanavyouana kisa mali tena mapema mapema tu. mwanaume anamkatia mkewe bima ya maisha au mkewe anamkatia bima ya maisha halafu anammaliza kwa kumtumia wauaji au kuna sumu fulani hatari inachanganywa kwa chakula.Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi
miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko
mwanzoni mwanzoni tu.
Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa aliyenusurika kuuliwa na mke wake kwa sumu waliposhindwa wakajaribu na uchawi,ndipo nikagundua kuwa kumbe....
Siri ya nchi za kiafrika kuwa na singlemama wengi ni mauaji ya waume wao na mara
zote wanaouliwaga ni wale wanaojiweza kiuchumi ukiwa kapuku utaishi mpaka umwembe
mola wako akuondoshe duniani.
Ama kwa hakika ukiwa na hela huku kwetu halafu
ukaoa binti toka koo masikini jua huo ni msiba wa kujitakia,ni sawa na kumchokoza
simba mwenye njaa,ukinusurika kifo utalishwa na kuogeshwa madawa wewe mbaka uwe ka
ndondocha vile,utageuzwa ATM utasomesha familia yao hadi wajiweze,wakisha simama
sasa siku ukipata majanga hakuna hata atakayekujali washapata walichokitaka toka kwako
hapo ndo.
Ushukuru mungu umepata familia isiopenda kuua, binafsi hili nililishuhudia toka
kwa ndugu yangu kabisa alioa binti wa kinguu kwao wachawi balaa,unaambiwa jamaa pale
kwake hakanyagi ndugu yetu aipiti wiki anatimuliwa lkn ndugu zake yule mwanamke kawasomesha
kawataftia kazi sasa wamesepa hao hata hawamjali.
Huku kwetu ndoa ni hatari saana especially ukiwa na vijisenti japo kidogo.
Unaibagaza "elimu ya kizungu" wakati hata huu mtandao unaoutumia kuibagaza unatokana na elimu hiyo hiyo?wacha kujidanganya na ielimu vyako ya kizungu mwenye macho
aambiwi tazama ukiambiwa njia hii ukipita kuna chatu na simba
utawauliza waliokuonya wana statistics ngapi? huyo simba washamuona
wangapi?huyo chatu kashameza wangapi? na usipopewa majibu
je utapita tu hivyo hivyo? wacha kujidanganya na theories hizo njoo kwenye practices uone kama zinafanyakazi
hujajibu hoja zangu za ukiambiwa usiende huko kuna hatariUnaibagaza "elimu ya kizungu" wakati hata huu mtandao unaoutumia kuibagaza unatokana na elimu hiyo hiyo?
Weka JF yako ya kutumia ramli halafu ibagazie "elimu ya kizungu" huko.
Nakwambia hivii.hujajibu hoja zangu za ukiambiwa usiende huko kuna hatari
utataka upatiwe statistics kama unavyodai wewe au utatii amri
bila shuruti? kuhusu wazungu waambie na wao waturudishie
mali zetu walizotuibia na wazotunyonya hadi sasa we unadhani bila
wizi huo kungekuwa na internet leo? Africa inaweza kuishi bila europe
lakini europe ndo bara pekee haliwezi kuishi bila uwepo wa africa hadi
leo hii na halina uwezo wa kuishi bila kuinyonya africa
Usisahau kujiombea usiuliwe.....nakuja naenda masjid inshallah
sababu hujajibu hojaNakwambia hivii.
Kabla ya kuibagaza "elimu ya kizungu" tengeneza internet yako ya mabua, halafu kaibagaze "elimu ya kizungu" huko.
Ukija hapa JF, mtandao ambao umetengenezwa kwa hiyo hiyo "elimu ya kizungu", halafu ukaibagaza hiyo hiyo "elinu ya kizungu", unajionesha ujinga wako tu.
Hoja hata ikiwekwa chini ya pua yako huwezi kuijua.sababu hujajibu hoja
maana yake huna hoja
Machame girlshua ni hadithi za kijingajinga tu ukiweka statistics A walio kufa kwa kuuliwa na wake zao ni hakuna
naona unazidi uongea pumba tu sasa kuwekaHoja hata ikiwekwa chini ya pua yako huwezi kuijua.
Ndiyo maana ukaja na logical non sequitur fallacy, inafuatiwa na ad hominem logical fallacy, inafuatiwa na appeal to tradiction logical fallacy.
Umejaa logical fallacies, hujui hoja ni nini.
Unaulizwa kwa hoja, unasema hizo habari za elimu ya kizungu. Halafu unaona hiyo ni hoja?