Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hapa ni mkono kwa kwenda mbele.Hapo sasa nimekuelewa kabisa mkuu.Uwe na amani na mkono wako daima.Amina
HakikaKabisa hapa ni mkono kwa kwenda mbele.
umenichekesha kweli kweliWengi wako kimitego uko makanisani, ukiiingia kingi tu wanakumaliza
hongea na ubakie hivyo hivyo usiwaige hao wenzakoMhm sio wote, mbona mimi sipo hivyo wala sina mda na mali kabisa
umemwelewa nni endelea kumtongoza si ulizania ni mwanamke huyokumbe dume lenzakoHapo sasa nimekuelewa kabisa mkuu.Uwe na amani na mkono wako daima.Amina
Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi
miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko
mwanzoni mwanzoni tu.
Hii mada nzuri sana, inahusiana sana na uzi unaoelezea mambi yasioonekana.Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi
miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko
mwanzoni mwanzoni tu.
Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa aliyenusurika kuuliwa na mke wake kwa sumu waliposhindwa wakajaribu na uchawi,ndipo nikagundua kuwa kumbe....
Siri ya nchi za kiafrika kuwa na singlemama wengi ni mauaji ya waume wao na mara
zote wanaouliwaga ni wale wanaojiweza kiuchumi ukiwa kapuku utaishi mpaka umwembe
mola wako akuondoshe duniani.
Ama kwa hakika ukiwa na hela huku kwetu halafu
ukaoa binti toka koo masikini jua huo ni msiba wa kujitakia,ni sawa na kumchokoza
simba mwenye njaa,ukinusurika kifo utalishwa na kuogeshwa madawa wewe mbaka uwe ka
ndondocha vile,utageuzwa ATM utasomesha familia yao hadi wajiweze,wakisha simama
sasa siku ukipata majanga hakuna hata atakayekujali washapata walichokitaka toka kwako
hapo ndo.
Ushukuru mungu umepata familia isiopenda kuua, binafsi hili nililishuhudia toka
kwa ndugu yangu kabisa alioa binti wa kinguu kwao wachawi balaa,unaambiwa jamaa pale
kwake hakanyagi ndugu yetu aipiti wiki anatimuliwa lkn ndugu zake yule mwanamke kawasomesha
kawataftia kazi sasa wamesepa hao hata hawamjali.
Huku kwetu ndoa ni hatari saana especially ukiwa na vijisenti japo kidogo.
HAYA mambo yapo jamani wanaume tujiangalieni saana sioUkweli mchungu… hiyo ishu ipo, nna jamaa yangu yupo SINGIDA kikazi nliongea naye mwez m1 au mi2 iliyopita alisema hiyo ishu huko ipo maana kaya nyingi znakaliwa na wanawake na ukiuliza wakwapi waume zao unaambiwa WAMEKUFA!
Huko SINGIDA, huyu jamaa yangu kwasasa ana mpenzi wa huko huko ila hana mpango wa kuoa mwanamke wa huko kwa7b ya mambo hayo.
mwanmke huna undugu nae halafu we una ma mali yote
hayo unategemea atakufanyaje?
Msiwege mnaoaNlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi
miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko
mwanzoni mwanzoni tu.
Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa aliyenusurika kuuliwa na mke wake kwa sumu waliposhindwa wakajaribu na uchawi,ndipo nikagundua kuwa kumbe....
Siri ya nchi za kiafrika kuwa na singlemama wengi ni mauaji ya waume wao na mara
zote wanaouliwaga ni wale wanaojiweza kiuchumi ukiwa kapuku utaishi mpaka umwembe
mola wako akuondoshe duniani.
Ama kwa hakika ukiwa na hela huku kwetu halafu
ukaoa binti toka koo masikini jua huo ni msiba wa kujitakia,ni sawa na kumchokoza
simba mwenye njaa,ukinusurika kifo utalishwa na kuogeshwa madawa wewe mbaka uwe ka
ndondocha vile,utageuzwa ATM utasomesha familia yao hadi wajiweze,wakisha simama
sasa siku ukipata majanga hakuna hata atakayekujali washapata walichokitaka toka kwako
hapo ndo.
Ushukuru mungu umepata familia isiopenda kuua, binafsi hili nililishuhudia toka
kwa ndugu yangu kabisa alioa binti wa kinguu kwao wachawi balaa,unaambiwa jamaa pale
kwake hakanyagi ndugu yetu aipiti wiki anatimuliwa lkn ndugu zake yule mwanamke kawasomesha
kawataftia kazi sasa wamesepa hao hata hawamjali.
Huku kwetu ndoa ni hatari saana especially ukiwa na vijisenti japo kidogo.
NASHKURU bro kwa kulitambua hilo na yeyote asiyezingatia hiliJamaa… kwenye suala la kuoa tusijifanye wajanja kwa kumtazama binti kwa nje tu ndipo apate alama ya kuolewa, ila hapa maombi ndo muhimu sana na yanahitajika.
Bila hivyo tutakuwa ni watu wa kulia lia tu na kufa muda wowote.
hatujasema watu wasioe ila tunachozungumziaMsiwege mnaoa
sometimes nasemaga ukizaa mtoto wa kiume anayejielewaJamaa… kwenye suala la kuoa tusijifanye wajanja kwa kumtazama binti kwa nje tu ndipo apate alama ya kuolewa, ila hapa maombi ndo muhimu sana na yanahitajika.
Bila hivyo tutakuwa ni watu wa kulia lia tu na kufa muda wowote.
Lazima apate wa kula hela zake , sababu kubwa ni ubinafsi wa maisha ya binadamu mtoto wa kiume akijipata basi anatafuta mke , huku nyuma wazazi ndio kawatema kimtindo yuko busy na familia yake mpya .sometimes nasemaga ukizaa mtoto wa kiume anayejielewa
shukuru mungu sabab % kubwa yao ni hasara utamlea kwa
shida toka utoto utamsomesha kwa shiida,utamtafutia kazi
halafu akishapata mshahar tu anajitokeza mwanamke huko
anamteka anaanza kuzitumia yeye zile pesa nz familia yao
atamsomeshea wadogo wake wote na kazi atawatafutia
huku yeye mwenyewe huyo mwanaume kwao masikini kibao
pengine hata wadogo zake hela ya kulipa ada hawana
wanrudishwa kila siku,akipigiwa simu anawajibu tena kwa
ukali sina hela msinisubue, ilhali huku anasomesha ukoo wote
wa mke wake,baada ya kufaidika mke huyo huyo pengine
baadae akadai talaka waachane sabab kashapata analotaka
toka kwako hana hasara,wala wale uliowsomesha hawatakukumbuka
wala kukushukuru,sa si bora ungetoa sadaka kwa kuchukua mayatima
japo wawili ukakaa nao na kuwasomesha... jamani tuzinduke wanaume Afrika ni sehem
hatari saana tofuti na wengi wanavyoichukulia.
wanaume jamani usikubali mwanamke akuambieJamaa… kwenye suala la kuoa tusijifanye wajanja kwa kumtazama binti kwa nje tu ndipo apate alama ya kuolewa, ila hapa maombi ndo muhimu sana na yanahitajika.
Bila hivyo tutakuwa ni watu wa kulia lia tu na kufa muda wowote.
sometimes utakuta mzazi wa mtu na dada zakeLazima apate wa kula hela zake , sababu kubwa ni ubinafsi wa maisha ya binadamu mtoto wa kiume akijipata basi anatafuta mke , huku nyuma wazazi ndio kawatema kimtindo yuko busy na familia yake mpya .