Mila ya kuua waume wenye mali ya baadhi ya wanawake wa makabila ya kiafrika

90% ya vifo vya wanaume Africa ni mpango wa Mwanamke/Mke.

90% ya vifo vya Wanawake Africa ni Kwa mapenzi ya Mungu.

Mkuu Mleta mada uko sahihi, na pia kuna mikoa/sehemu zingine Mwanaume anaweza asiuwawe analishwa madawa Ile ari ya kutafuta Mali inayeyuka Ili tu Mwanamke apate kuitwa mke wa Fulani

Kimsingi hili bara halijakosa magiant kama kina Einstein, Elon Musk, kina Hawking, Jobs isipokuwa ni mambo meusi ndio yanachangia.

Ukishalishwa hayo mauchawi Yao huwezi kuwa mbunifu tena...

Na unajua ni kwakuwa Wanaume tumeacha kuzisaka nguvu za kiroho, unakuta unaoa Mwanamke ni Mchawi kama sio mchawi bas ana access na waganga waovu wanaoweza kumsaidia Nia zake...
 
Wanaume wenyewe wa kiafrika wengi wanaoa wanawake wadogo zaidi yao, halafu watu wanategemeaje wanawake ndio waanze kufariki?
Sio kweli wengi wao wanaoondoka hata huo uzee hawauonji
 
Salute bro nakubaliana na wewe 100% umri mfupi wa wanaume wa kiafrika
ni matokeo yaa mauaji na si kingine jua kabisa mwanamke ana kila access
ya kuuangamiza chakula anakupikia,maji ya kuoga anakuandalia sasa hapa
mtu unadhani atachomoka vipi mtu wakipanga kukuondoa duniani ili wachukue
mali zako ulizozipata kwa shida saana?
 
Sio kweli wengi wao wanaoondoka hata huo uzee hawauonji
"Wengi wao" ni wangapi? Umefanya utafiti gani? Umetumia sample space gani? Una margin of error gani? Una bias gani? Umezi address vipi bias zako? Umefanya peer review vipi? Umechapisha wapi?
 
"Wengi wao" ni wangapi? Umefanya utafiti gani? Umetumia sample space gani? Una margin of error gani? Una bias gani? Umezi address vipi bias zako? Umefanya peer review vipi? Umechapisha wapi?
wacha kujidanganya na ielimu vyako ya kizungu mwenye macho
aambiwi tazama ukiambiwa njia hii ukipita kuna chatu na simba
utawauliza waliokuonya wana statistics ngapi? huyo simba washamuona
wangapi?huyo chatu kashameza wangapi? na usipopewa majibu
je utapita tu hivyo hivyo? wacha kujidanganya na theories hizo njoo kwenye practices uone kama zinafanyakazi
 
Wazungu gani hao mkuu? Tazama IDx utaelewa wazungu wanavyouana kisa mali tena mapema mapema tu. mwanaume anamkatia mkewe bima ya maisha au mkewe anamkatia bima ya maisha halafu anammaliza kwa kumtumia wauaji au kuna sumu fulani hatari inachanganywa kwa chakula.
watu huwa wanadhani wazungu wema tu kumbe nao mamafia tu.
 
Unaibagaza "elimu ya kizungu" wakati hata huu mtandao unaoutumia kuibagaza unatokana na elimu hiyo hiyo?

Weka JF yako ya kutumia ramli halafu ibagazie "elimu ya kizungu" huko.
 
Unaibagaza "elimu ya kizungu" wakati hata huu mtandao unaoutumia kuibagaza unatokana na elimu hiyo hiyo?

Weka JF yako ya kutumia ramli halafu ibagazie "elimu ya kizungu" huko.
hujajibu hoja zangu za ukiambiwa usiende huko kuna hatari
utataka upatiwe statistics kama unavyodai wewe au utatii amri
bila shuruti? kuhusu wazungu waambie na wao waturudishie
mali zetu walizotuibia na wazotunyonya hadi sasa we unadhani bila
wizi huo kungekuwa na internet leo? Africa inaweza kuishi bila europe
lakini europe ndo bara pekee haliwezi kuishi bila uwepo wa africa hadi
leo hii na halina uwezo wa kuishi bila kuinyonya africa
 
Nakwambia hivii.

Kabla ya kuibagaza "elimu ya kizungu" tengeneza internet yako ya mabua, halafu kaibagaze "elimu ya kizungu" huko.

Ukija hapa JF, mtandao ambao umetengenezwa kwa hiyo hiyo "elimu ya kizungu", halafu ukaibagaza hiyo hiyo "elinu ya kizungu", unajionesha ujinga wako tu.
 
sababu hujajibu hoja
maana yake huna hoja
 
sababu hujajibu hoja
maana yake huna hoja
Hoja hata ikiwekwa chini ya pua yako huwezi kuijua.

Ndiyo maana ukaja na logical non sequitur fallacy, inafuatiwa na ad hominem logical fallacy, inafuatiwa na appeal to tradiction logical fallacy.

Umejaa logical fallacies, hujui hoja ni nini.

Unaulizwa kwa hoja, unasema hizo habari za elimu ya kizungu. Halafu unaona hiyo ni hoja?
 
naona unazidi uongea pumba tu sasa kuweka
kilatino ina maana ndo unataka kuntisha au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…