Mila ya kuua waume wenye mali ya baadhi ya wanawake wa makabila ya kiafrika

naona unazidi uongea pumba tu sasa kuweka
kilatino ina maana ndo unataka kuntisha au?
Sitaki kukutisha. Wewe ndiye una inferiority complex kwa sababu hujui mambo ya kawaida tu, nikiyataja unaona nakutisha.

Yani ujinga wako wewe, lawama unanipa mimi.

Hatuwezi kuelewana.
 
Sitaki kukutisha. Wewe ndiye una inferiority complex kwa sababu hujui mambo ya kawaida tu, nikiyataja unaona nakutisha.

Yani ujinga wako wewe, lawama unanipa mimi.

Hatuwezi kuelewana.
wewe endelea tu kutetea mila yako ya kuangamiza watto wa wenzako
na kuwanyonya wakusomesheeni familia zenu utadhani mlisaidia
kumsomesha na kumwezesha
 
 
ukiangalia hapo kilichomuua ni sihr tu ndo inamtuma ajinyonge
au stress za wanawake
 
Pengine ilitokea sehemu, Sijui ..
Pengine mtoa mada ameshuhudia kwa macho yake, sijui ..
Pengine kweli, Pengine hisia ..
Yote ya yote Naheshimu mawazo yako ..
 
Vipi kwenu baba yako yupo? Au ni masikini ndiyo maana yupo? Wakati mwingine wanaume huwa wanajitafutia matatizo wenyewe, mtu ana mke mzuri tu asiye na shida lakini anaenda kukusanya huko mizigo ya ajbu ajabukwanini wasikuue?
 
nashkuru kwa mtazamo wako hayo niliyoyasema nimeyaona kwa macho yangu
bro sinimesema hapo ndugu yangu ndo kasomesha ukoo wa mke wake halafu
jamaa yangu nae mjua kanusurika kufa kwa sumu na alipomkosa akaanzishiwa
awamu ya pili ya mshambulizi safari hii ya kichawi na uchawi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…