Milango ya Chuma toka China na ile ya Tanzania-Uimara na Changamoto zake

Milango ya Chuma toka China na ile ya Tanzania-Uimara na Changamoto zake

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,714
Habari wanajukwaa.

Ninaomba tupeane uzoefu na mawazo kuhusu aina hizi 2 za milango ya Chuma. Ipi ni bora ukilingamisha na mingine.
Strength na weakness za kila milango. Inadumu kwa muda gani na reaction zake linapokuja swala la kutu.
Uimara wa milango yenye na vitasa vyake.
Pia tuangalie na gharama.

Lengo ni kutoa picha kamili kabla mtu hajaamua kununua
 
Napiga kambi hapa nami nina la kujifunza
 
Mafundi na wauzaji karibuni kwa mawazo na ushauri
 
Attachments

  • images (22).jpeg
    images (22).jpeg
    24.3 KB · Views: 64
  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    18.3 KB · Views: 61
  • images (20).jpeg
    images (20).jpeg
    27.2 KB · Views: 73
Nafikiri itakuwa kama bidhaa za china zilivyo tu,,, maana hapa Tanzania bidhaa zote ni zile hazina ubora
Nadhani ni vizuri tukapata uchambuzi kutoka kwa mafundi, watumiaji na wauzaji
 
Nimeona ya China ni mizuri na bei ni rahisi kuliko ya hapa ingawa ya China ina muonekano mzuri sana na ina security lock nzuri. Wasiwasi wangu ni kwenye rangi na uimara
 
Nimeona ya China ni mizuri na bei ni rahisi kuliko ya hapa ingawa ya China ina muonekano mzuri sana na ina security lock nzuri. Wasiwasi wangu ni kwenye rangi na uimara
Inauzwa bei gani?utofauti wa bei ikoje ukilinganisha na ya Tanzania?
 
Nimeona ya China ni mizuri na bei ni rahisi kuliko ya hapa ingawa ya China ina muonekano mzuri sana na ina security lock nzuri. Wasiwasi wangu ni kwenye rangi na uimara
Kwa wastani inauzwaje, na inapatikana wapi?
 
Kwa wastani inauzwaje, na inapatikana wapi?
Hii nimeona jamaa kapost hizi bei na hii ni ya kutoka China.

Kwa hii ya Tanzania nimeona jamaa wanaanzia 1.2 kwa Doible door
 
Attachments

  • Screenshot_20250405-170935.jpg
    Screenshot_20250405-170935.jpg
    80.2 KB · Views: 73
Hii nimeona jamaa kapost hizi bei na hii ni ya kutoka China.

Kwa hii ya Tanzania nimeona jamaa wanaanzia 1.2 kwa Doible door
Ahsante, ngoja nijaribu kuwacheki kwa Goba. Nitaleta mrejesho
 
Itafika tu mkuu. Nataka niachane ni milango ya Mbao maana mchwa wanaitamani sana so nataka nifanye chaguo sahihi
Tumefika hatua mpaka ya kuagiza milango ya nyumba kutoka China? Kweli idumu CCM. Ni nini tunaweza? Anyways, nakushauri fikiria sana kabla ya kuweka milango kama hii hasa kama nyumba yako ni ya makazi kwa sababu ya moto. Mimi hata grill za mlango huwa nashauri ziwekwe kwa uangalifu sana kwa sababu moto ukizuka ni hatari sana.
 
Asante kwa ushauri mkuu. Nitaweka mlango wa mbele tu.
Tatizo hapa ninapokaa mchwa ni wengi sana
 
Back
Top Bottom