macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Sawa mkuu. Lakini mchwa wanaweza kuwa contained hasa kama ujenzi utakuwa mzuri. Ukiweka msingi mzuri mchwa hawawezi kupenya japo gharama itakuwa juu kidogo. Na pia ukitumia dawa sahihi itasaidia.Asante kwa ushauri mkuu. Nitaweka mlango wa mbele tu.
Tatizo hapa ninapokaa mchwa ni wengi sana