Vyuma vipo hapa ni wewe unataka chuma gani,, kuna class a, b, c za vyumaNadhani ni vizuri tukapata uchambuzi kutoka kwa mafundi, watumiaji na wauzaji
Inauzwa bei gani?utofauti wa bei ikoje ukilinganisha na ya Tanzania?Nimeona ya China ni mizuri na bei ni rahisi kuliko ya hapa ingawa ya China ina muonekano mzuri sana na ina security lock nzuri. Wasiwasi wangu ni kwenye rangi na uimara
Kila kitengenezacho hakikosi fundiHizi Lock zikiaribika zinatengenezeka mkuu?
mlango (frame + top) ukiwekwa inavyopasa ni ngumu au vigumu kuharibika kwa hizo lock lakini pia ikitokea hitilafu huwa zinatengenezeka.Hizi Lock zikiaribika zinatengenezeka mkuu?
Kwa wastani inauzwaje, na inapatikana wapi?Nimeona ya China ni mizuri na bei ni rahisi kuliko ya hapa ingawa ya China ina muonekano mzuri sana na ina security lock nzuri. Wasiwasi wangu ni kwenye rangi na uimara
Ahsante, ngoja nijaribu kuwacheki kwa Goba. Nitaleta mrejeshoHii nimeona jamaa kapost hizi bei na hii ni ya kutoka China.
Kwa hii ya Tanzania nimeona jamaa wanaanzia 1.2 kwa Doible door
Tumefika hatua mpaka ya kuagiza milango ya nyumba kutoka China? Kweli idumu CCM. Ni nini tunaweza? Anyways, nakushauri fikiria sana kabla ya kuweka milango kama hii hasa kama nyumba yako ni ya makazi kwa sababu ya moto. Mimi hata grill za mlango huwa nashauri ziwekwe kwa uangalifu sana kwa sababu moto ukizuka ni hatari sana.Itafika tu mkuu. Nataka niachane ni milango ya Mbao maana mchwa wanaitamani sana so nataka nifanye chaguo sahihi
Asante kwa ushauri mkuu. Nitaweka mlango wa mbele tu.Tumefika hatua mpaka ya kuagiza milango ya nyumba kutoka China? Kweli idumu CCM. Ni nini tunaweza? Anyways, nakushauri fikiria sana kabla ya kuweka milango kama hii hasa kama nyumba yako ni ya makazi kwa sababu ya moto. Mimi hata grill za mlango huwa nashauri ziwekwe kwa uangalifu sana kwa sababu moto ukizuka ni hatari sana.