Sawa mkuu. Lakini mchwa wanaweza kuwa contained hasa kama ujenzi utakuwa mzuri. Ukiweka msingi mzuri mchwa hawawezi kupenya japo gharama itakuwa juu kidogo. Na pia ukitumia dawa sahihi itasaidia.
Nimeona ya China ni mizuri na bei ni rahisi kuliko ya hapa ingawa ya China ina muonekano mzuri sana na ina security lock nzuri. Wasiwasi wangu ni kwenye rangi na uimara