Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Milard Ayo amekuja vizuri sana kwenye tasnia ya habari amekua kioo kwa baadhi ya vijana wanaotaka kuanzisha chombo kama cha kwake.
Huyu dogo amekuwa kero sana hasa kwa mambo yasio na faida kwa taifa. Anatoa kiki ambazo ni hasara kwa jamii badala ya issues za maana.
Mifano ipo mingi siwezi kutaja yote ila kwa sasa ni hili la Mlevi wa taifa Pierre mzee wa Liquid huyu mlevi sijui ana maana gani mpaka apostiwe kwenye vyombo vya habari. Unapomkuza huyu mlevi unafundisha nin wanaokufatilia? Mtu anapata faida gani kujua alipo mlevi huyu? Amefamya jambo gani la kuelimisha jamii mpaka umpe kiki? Au kaacha ulevi?
Kwa ujinga huu tusije kulaumu vijana kuiga au kuwa kama Pierre.
Ana vituko gani vya kuiga? Watu wanamtazama wanachukua nini toka kwake?, Milard Ayo badilika ushakua na brand kubwa sio mtu wa kupost ujinga tena.