Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
- Thread starter
- #81
Wengine wanaiga toka kwake ndo mana na laumu yeyeSasa umemshutumu Milard alafu kwenye andiko ukalalamikia media zote zinazomkuza Likwidi. Huyo Milard ndio mwenye media hizo zote?
Kwani si huyo huyo Milard alimkuza yule Mtoto wa Kagera na akapata Shule ya kusoma? sio kila siku mambo yatafanana.
Likwidi ni Msanii tu kama Msanii mwingine, na hakuna aliyethibitisha kama ni mlevi, ila kapatia umaarufu kwa sanaa yake kupitia baa, na yeye anaendeleza tu, ila kawa kibiashara zaidi.
Katuma kutoka telegram.me/smatskills