Milard Ayo unakera sasa kwa kiki za kijinga

Milard Ayo unakera sasa kwa kiki za kijinga

Mojawapo ya post zinazopendwa na watanzania ni post unazosema "za kijinga"

Ukiwa na social media hapa Tanzania na ukaweka strong or big story watembeleaji wa mtandao wako watakuwa wawili kwa siku.

Kitu kingine hizo story za UMBEA ndizo zinampa pesa kijana kila mnapofungua hiyo site yake.

KIKUBWA.
Jifunze hapa hapa JF angalia post na viewers wanaofungua, kukomenti, kusoma na wale wanaoreply.
Nilitaka kuongea hiki kitu mkuu, umemaliza kabisa.
 
Huenda wewe ndio huelewi soko la tasnia hapa nchini, umeamua kujiandikia tu kwa sababu hujui au una chuki binafsi.

Hapo shida ipo kwa jamii, kwa lugha rahisi jamii ndio inapenda hivyo vitu na inavipa muda, hupo piere akipita huko mtaani watu wanamkimbilia kupiga picha.

Jiulize kwa nn magazeti ya udaku yanauzwa sana kuliko yanayoandika issue serious kama vile Mwananchi?

Tatizo ni jamii inapenda hivyo vitu na yule ni mfanyabishara unataka akauze kanzu Mbeya atapata wateja kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sio ujinga.

Moja ya kazi za fasihi ni kuburudisha, mtu akisoma hyo habar ya Pierre (kwa anayezipenda) utaona anaishia kucheka na siku ikasogea.

Halafu pia sio lazima kila habari isomwe na watu wote, ukifungua ukakuta mambo ya Pierre achana nayo endelea ku scroll upate habari inayoendana na matakwa yako.

Mfano hapa JF kuna watu hawafiki kabisa Chit chat au MMU, wao kila siku wako international forum, jamii intelligence, jukwaa la siasa & the likes. Kwa notion yako maana yake ni kuwa mtu asiyependa mambo ya chit chat awalaumu JF kwa kuweka jukwaa hilo?

Kwa mfano huo ndo sawa na Millard anavyofanya.
Mkuu Milard anaongoza kuwa na subscribers wengi youtube hapa EA kwa upande wa Media sa ana shida gani na hao wapenda ujinga?
 
Kwahiyo unataka a post mambo ya ccm.... Hayo ndo unayoyaita yamaaana Si bora a post hayo mambo ya kijinga walau watanzania tufurahi kuliko kukaaaa Kama tupo utumwani kwa kusikiliza mambo ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh!

Ukivhukulia mambo personal utapata wakati mgumu sana, kila nchi hadi marekani na ulaya online tv/blogs za aina hii zipo. Ambazo kazi yake ni kukusanya kila kitu kinachotrend mtaani na kukiweka, bila kusahau hard news.
Cicero yan tena nasikitika sababu sijui taifa li ajifunza na kupata nin toka kwake!! Angalia hata comments za hapa tu ni janga kwa vijana, kuwalisha wengi ujinga ndio bora kuliko kubabaisha wachache na werevu
 
Umejiuliza hao subscribers wake wanapenda mambo gani?

FYI, watu wanaopenda habari kama hizo za umbea umbea ambazo wewe huzitaki ndo wanaongoza kutembelea mitandao ya kijamii na kusbscribe ili wapate hizo habari mapema kabla hazijachacha.

Hivi unategemea mtu anayependa siasa sana umkute huko YouTube yuko busy kusubscribe vi online tv?
Mkuu Milard anaongoza kuwa na subscribers wengi youtube hapa EA kwa upande wa Media sa ana shida gani na hao wapenda ujinga?
 
Mojawapo ya post zinazopendwa na watanzania ni post unazosema "za kijinga"

Ukiwa na social media hapa Tanzania na ukaweka strong or big story watembeleaji wa mtandao wako watakuwa wawili kwa siku.

Kitu kingine hizo story za UMBEA ndizo zinampa pesa kijana kila mnapofungua hiyo site yake.

KIKUBWA.
Jifunze hapa hapa JF angalia post na viewers wanaofungua, kukomenti, kusoma na wale wanaoreply.
The IQ kubwa umenena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha sasa unataka mda wote aweke serious news?kuna mda wa kurefresh mind bana mbona most ya habari zake ni za kuelimisha?acha wenge na chuki za kimaskini..by the way millard anapiga pesa sana kwenye hzo habari zinazosema za kijinga ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nahisi ni Bashite nasikia kasonta huyu mtu liquid wakati yupo pale pale. Ayo anatoa kilicho bora. It does not matter what. Kwani huyo mtu kalazimishwa kutizama? Asante kwa kucomment labda huyo mwenye kifua uchi atasoma.
 
Chuki binafsi eeeh🎵🎶🎶majumbani🎹🎹maofisini zinaleta tabu mitandaoni🎶🎵🎶
 
Milard Ayo amekuja vizuri sana kwenye tasnia ya habari amekua kioo kwa baadhi ya vijana wanaotaka kuanzisha chombo kama cha kwake.
Huyu dogo amekuwa kero sana hasa kwa mambo yasio na faida kwa taifa. Anatoa kiki ambazo ni hasara kwa jamii badala ya issues za maana.
Mifano ipo mingi siwezi kutaja yote ila kwa sasa ni hili la Mlevi wa taifa Pierre mzee wa Liquid huyu mlevi sijui ana maana gani mpaka apostiwe kwenye vyombo vya habari. Unapomkuza huyu mlevi unafundisha nin wanaokufatilia? Mtu anapata faida gani kujua alipo mlevi huyu? Amefamya jambo gani la kuelimisha jamii mpaka umpe kiki? Au kaacha ulevi?
View attachment 1056728
Kwa ujinga huu tusije kulaumu vijana kuiga au kuwa kama Pierre.
Ana vituko gani vya kuiga? Watu wanamtazama wanachukua nini toka kwake?, Milard Ayo badilika ushakua na brand kubwa sio mtu wa kupost ujinga tena.
Napokuwa nashangaaa sana watz wanawapa katuni watoto wao waangalie na mapicha ya kizunguu waangalie sijui wanajifunza nini? Ila ukwel chuki ni mbaya zaidi kama tungekuwa wamaana tungekataa utandawaz tungekuwa kama NK
 
So ndio umepata cha kuandika baada ya akili kupata utambuzi wa kusaidiwa na kile Makonda kakisema Mlimani City? Mbona hili hukuliona kabla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napokuwa nashangaaa sana watz wanawapa katuni watoto wao waangalie na mapicha ya kizunguu waangalie sijui wanajifunza nini? Ila ukwel chuki ni mbaya zaidi kama tungekuwa wamaana tungekataa utandawaz tungekuwa kama NK
Tofautisha mambo ya kitoto na mambo ya kikubwa

Katuma kutoka telegram.me/smatskills
 
Siku hizi Millard Ayo ni idiot ameambukizwa na huyo mdada Meena Alli she's too idiot
 
Sasa umemshutumu Milard alafu kwenye andiko ukalalamikia media zote zinazomkuza Likwidi. Huyo Milard ndio mwenye media hizo zote?

Kwani si huyo huyo Milard alimkuza yule Mtoto wa Kagera na akapata Shule ya kusoma? sio kila siku mambo yatafanana.

Likwidi ni Msanii tu kama Msanii mwingine, na hakuna aliyethibitisha kama ni mlevi, ila kapatia umaarufu kwa sanaa yake kupitia baa, na yeye anaendeleza tu, ila kawa kibiashara zaidi.
 
Kuna moja pia amepost mbaba analima na mtoto wa kike pembeni....mtoto wa kike akaanza kumshikashika yule mbaba kwa maana ingine kumtongoza....
 
Back
Top Bottom