IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Sahihi kabisa, some years back mhariri mmoja aliniambia the leading newspaper Kwa uzalishaji na mauzo nchini ilikuwa Gazeti la udaku la Ijumaa.Mojawapo ya post zinazopendwa na watanzania ni post unazosema "za kijinga"
Ukiwa na social media hapa Tanzania na ukaweka strong or big story watembeleaji wa mtandao wako watakuwa wawili kwa siku.
Kitu kingine hizo story za UMBEA ndizo zinampa pesa kijana kila mnapofungua hiyo site yake.
KIKUBWA.
Jifunze hapa hapa JF angalia post na viewers wanaofungua, kukomenti, kusoma na wale wanaoreply.
Sent using Jamii Forums mobile app