Milard Ayo unakera sasa kwa kiki za kijinga

Sahihi kabisa, some years back mhariri mmoja aliniambia the leading newspaper Kwa uzalishaji na mauzo nchini ilikuwa Gazeti la udaku la Ijumaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtu sijawahi hata kumfolow na wala siyo mfualiii habari zake kabisaaaa baada ya kujua kuwa ni miongoni mwa list ya konk.
 
shida ya watanzania wengi ukipost ujinga na siasa wanatoa suppot kwel kwel ndio maan wakaitwa (wabongo) ukipost cha msingi kinachoelezea true way of life suppot kidogo tujifunze jaman watanzania wenzangu tusipende ujinga tupeane suppot kwenye mambo ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu hili hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kitu ambacho kinanikera kwenye hzi website zetu za habari siku hzi ni kuwa directed to you tube
 
Kaza buti millard ayo , fanya kazi , wenye wivu wako kazini.
 
Wabongo tunacomplicate maisha sana ...habari zote muhimu zinazotokea ndani na nje ya inchi still anaziripoti tena ontime...kupost jokes kwa vipost viwili vitatu tena mtu anamind...kama humpend huyo likwid sijui vumilia tu siku mbili tatu atapita..kwa sababu hana cha kumfanya aendelee kutrend kwa mwaka mzima...wakina Dr shika na hamorapa nao walipita pia ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofcoz sema jamaaa huyu nae ni mlevi lakini hapati airtime kama piere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Roho inamuuma sanaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ameshakua Star "Piere",haya yote yametokana na ugumu wa maisha ya mtanzania,now watu wanahangaika kutafuta vitu vya kuwatoa stress,thus why mtu kama Piere na wengineo wamepata fursa,katika kipindi hiki vituko vyao ni muhimu kuliko speach za Jiwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukumbuke pia kazi za illuminati ni kuwezesha mambo ya kijinga kuwa promoted.
Ushawahi kufikiri who is behind Millard Ayo hadi ateuliwe kwenda kozi fupi na kugharamiwa kila kitu.
Mafanikio na umaarufu huja kwa kuwezeshwa na elites.
Yesu aliambiwa na shetani kuwa akimtumikia atapewa fahari zote za dunia.
Na wewe mtumikie shetani upate raha za dunia, sio kulaumu tu na kumuonea wifu Piere Gumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sinajinasasa hapo umenikumbusha kitu, ni kweli kwa sasa shetani kawashika watu kila kona..... Tusishangae miaka ya baadae kuona walevi wakinywa bia hata ndani ya ofisi za kuheshimika
 
Usikomaze Sana ubongo katika hadithi za kufikirika utajitu chizi na kilichokuchizisha hukijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mbona hamkulalamika Dr.SHIKA alipo rushwa? Mlifurahia sana mzee wa 900 itapendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…