Milard Ayo unakera sasa kwa kiki za kijinga

Watanzania wanapenda maujinga
 
Jokes au ujinga? Hakuna asiependa utani na vituko lakini viwe na maana hata ukivipa promo sio mbaya... Sasa mtoto anajifunza nn toka kwa huyo mlevi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshindwa kujifunza hata kupitia Jf kuona ni jinsi gani wabongo tunapenda vitu visivyokuwa serious??
 
Mtoa mada upo sahihi kabisaaaaaaa
Media Tz wanaenzi sana upuuzi kama huu
Wanashabikia umalaya (amber, sijui gig nini sijui akina fey ni), ulevi etc
Wanaacha kuzungumzia faida ya elimu kilimo kujituma ujasiliamali ubunifu wa vitu etc wanaishia kuwapa promo wapuuzi kama hawa.
Millard Ayo usije ukawa na wewe kama magazeti ya udaku
Media ziiikuuuza sana issue ya malaya wale amber wakaikuza sana ya fey sijui irene.....
 
Hapo hata mimi simuungi mkono Milad ila na wew mbona umwmpost humu.
 
Shule ulikimbia umande sasa unataka millard akuelimishe sa hv, unamlipa ada? Iyoooooooooooooo imepaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee ww akili yako imeganda kabisa sidhani kama una cha maana unachowaza zaidi ya kutaka kukua bwana mpya wa wema!!! Utafaidika na nin ukijua huo ujinga?
Ulivyo na akili ndogo unatamani media zote ziwe na udaku??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman huyu Pierre sijui nani anahojw had na BBC kwayo mwacheni milad maana ndo kaz yenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...Ukiona inakuuma vaa nguo uondoke..

Hivi unataka kila saa awe anapost mihabari ya serious tu. Lazima akave kila eneo. Wakati banakuza wigo wewe inakuyoa povu.
 
Unataka awe anapost habari kuhusu madini ya uranium ndio umuone yupo serious?

Au awe anapost habari " waziri mkuu afungua zahanati ya wazazi kisiwani ukerewe" unapotoka wewe ?

Acha ushamba
 
Unataka awe anapost habari kuhusu madini ya uranium ndio umuone yupo serious?

Au awe anapost habari " waziri mkuu afungua zahanati ya wazazi kisiwani ukerewe" unapotoka wewe ?

Acha ushamba
Hata kama sio serious ila ziwe na maana.... Kupost mlevi kunywa pombe hazarani kuna maana gani?

Sent using smatskills group on telegram
 
Juz kati hapa kapost 'hatimaye nyumbu wahama serengeti'yaan ss iv ki ukwel kakosa creativity hana weledi kabxa
 
Acha Wivu Ya Kijinga Jamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…