Nilitaka kuongea hiki kitu mkuu, umemaliza kabisa.Mojawapo ya post zinazopendwa na watanzania ni post unazosema "za kijinga"
Ukiwa na social media hapa Tanzania na ukaweka strong or big story watembeleaji wa mtandao wako watakuwa wawili kwa siku.
Kitu kingine hizo story za UMBEA ndizo zinampa pesa kijana kila mnapofungua hiyo site yake.
KIKUBWA.
Jifunze hapa hapa JF angalia post na viewers wanaofungua, kukomenti, kusoma na wale wanaoreply.
Mkuu Milard anaongoza kuwa na subscribers wengi youtube hapa EA kwa upande wa Media sa ana shida gani na hao wapenda ujinga?
Cicero yan tena nasikitika sababu sijui taifa li ajifunza na kupata nin toka kwake!! Angalia hata comments za hapa tu ni janga kwa vijana, kuwalisha wengi ujinga ndio bora kuliko kubabaisha wachache na werevu
Mkuu Milard anaongoza kuwa na subscribers wengi youtube hapa EA kwa upande wa Media sa ana shida gani na hao wapenda ujinga?
The IQ kubwa umenena!Mojawapo ya post zinazopendwa na watanzania ni post unazosema "za kijinga"
Ukiwa na social media hapa Tanzania na ukaweka strong or big story watembeleaji wa mtandao wako watakuwa wawili kwa siku.
Kitu kingine hizo story za UMBEA ndizo zinampa pesa kijana kila mnapofungua hiyo site yake.
KIKUBWA.
Jifunze hapa hapa JF angalia post na viewers wanaofungua, kukomenti, kusoma na wale wanaoreply.
Huyu nahisi ni Bashite nasikia kasonta huyu mtu liquid wakati yupo pale pale. Ayo anatoa kilicho bora. It does not matter what. Kwani huyo mtu kalazimishwa kutizama? Asante kwa kucomment labda huyo mwenye kifua uchi atasoma.Haha sasa unataka mda wote aweke serious news?kuna mda wa kurefresh mind bana mbona most ya habari zake ni za kuelimisha?acha wenge na chuki za kimaskini..by the way millard anapiga pesa sana kwenye hzo habari zinazosema za kijinga ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Napokuwa nashangaaa sana watz wanawapa katuni watoto wao waangalie na mapicha ya kizunguu waangalie sijui wanajifunza nini? Ila ukwel chuki ni mbaya zaidi kama tungekuwa wamaana tungekataa utandawaz tungekuwa kama NKMilard Ayo amekuja vizuri sana kwenye tasnia ya habari amekua kioo kwa baadhi ya vijana wanaotaka kuanzisha chombo kama cha kwake.
Huyu dogo amekuwa kero sana hasa kwa mambo yasio na faida kwa taifa. Anatoa kiki ambazo ni hasara kwa jamii badala ya issues za maana.
Mifano ipo mingi siwezi kutaja yote ila kwa sasa ni hili la Mlevi wa taifa Pierre mzee wa Liquid huyu mlevi sijui ana maana gani mpaka apostiwe kwenye vyombo vya habari. Unapomkuza huyu mlevi unafundisha nin wanaokufatilia? Mtu anapata faida gani kujua alipo mlevi huyu? Amefamya jambo gani la kuelimisha jamii mpaka umpe kiki? Au kaacha ulevi?
View attachment 1056728
Kwa ujinga huu tusije kulaumu vijana kuiga au kuwa kama Pierre.
Ana vituko gani vya kuiga? Watu wanamtazama wanachukua nini toka kwake?, Milard Ayo badilika ushakua na brand kubwa sio mtu wa kupost ujinga tena.
So ndio umepata cha kuandika baada ya akili kupata utambuzi wa kusaidiwa na kile Makonda kakisema Mlimani City? Mbona hili hukuliona kabla?Milard Ayo amekuja vizuri sana kwenye tasnia ya habari amekua kioo kwa baadhi ya vijana wanaotaka kuanzisha chombo kama cha kwake.
Huyu dogo amekuwa kero sana hasa kwa mambo yasio na faida kwa taifa. Anatoa kiki ambazo ni hasara kwa jamii badala ya issues za maana.
Mifano ipo mingi siwezi kutaja yote ila kwa sasa ni hili la Mlevi wa taifa Pierre mzee wa Liquid huyu mlevi sijui ana maana gani mpaka apostiwe kwenye vyombo vya habari. Unapomkuza huyu mlevi unafundisha nin wanaokufatilia? Mtu anapata faida gani kujua alipo mlevi huyu? Amefamya jambo gani la kuelimisha jamii mpaka umpe kiki? Au kaacha ulevi?
View attachment 1056728
Kwa ujinga huu tusije kulaumu vijana kuiga au kuwa kama Pierre.
Ana vituko gani vya kuiga? Watu wanamtazama wanachukua nini toka kwake?, Milard Ayo badilika ushakua na brand kubwa sio mtu wa kupost ujinga tena.
Tofautisha mambo ya kitoto na mambo ya kikubwaNapokuwa nashangaaa sana watz wanawapa katuni watoto wao waangalie na mapicha ya kizunguu waangalie sijui wanajifunza nini? Ila ukwel chuki ni mbaya zaidi kama tungekuwa wamaana tungekataa utandawaz tungekuwa kama NK